Viroba katika Coca au Pepsi!

Columbus

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
2,002
Reaction score
651
Huu umekuwa ndio ulevi mpya, asilimia kubwa ya watu wa kawaida wakiwemo boda boda siku hizi wanatumia ulevi huu wa kuchanganya soda aina ya coca cola au pepsi na viroba vya konyagi au valuer, naomba kujua kitaalamu kuna faida au madhara gani?
 
na mimini miongoni mwao, si uwongo, mifupa inasagika tu humo, sbb any coce ina nicotine, ukitaka kujua jaribu kuweka konyagi na kisoda kwenye chupa yenye pepsi halafu kaa 24 hrs uone.......
 
Huu umekuwa ndio ulevi mpya, asilimia kubwa ya watu wa kawaida wakiwemo boda boda siku hizi wanatumia ulevi huu wa kuchanganya soda aina ya coca cola au pepsi na viroba vya konyagi au valuer, naomba kujua kitaalamu kuna faida au madhara gani?

Bila shaka baadhi ya ajali za bodaboda husababishwa na ushituaji huu!
 
hahahaha enzi zangu nimekunywa sana, sasa ni s/ngeti tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…