Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu umekuwa ndio ulevi mpya, asilimia kubwa ya watu wa kawaida wakiwemo boda boda siku hizi wanatumia ulevi huu wa kuchanganya soda aina ya coca cola au pepsi na viroba vya konyagi au valuer, naomba kujua kitaalamu kuna faida au madhara gani?