VIROJA

Mwanamke siku zote huwa anaamin mme ndie atakaeanza kufa. Kama unabisha mwambie 'hii nyumba nataka tuiuze' utaskia alafu siku ukifa mi nitaishije na watoto?
Siku zote wanawake sijui huwa wanawaza nini juu yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…