Virusi vya corona: Anna Mghwira atangaza malori ya Kenya kutovuka mpaka wa Tanzania wa Holili

Virusi vya corona: Anna Mghwira atangaza malori ya Kenya kutovuka mpaka wa Tanzania wa Holili

Mkuu mbona sirari jambo ilo lilikuepo tokea zamani? Hakuna lorry la Tanzania linaloingia Kenya, kinachofanyika mzigo ukitoka Nairobi ukifika pale mpakani sirari unashushwa.

Then magari ya Tanzania yanachukua pale mpakani wafanyabiashara haswa wa nguo pale Mwanza wanafanya hivi ni kama mwezi sasa.
 
Baada ya mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro kuyazuia magari makubwa kuingia nchini kupitia Holili jana, Leo naona pia mkuu wa mkoa Tanga Amezuia magari makubwa kuingia nchini kupitia mpaka wa Horohoro.

Hii ni kutokana na nchi jirani kuzuia madereva wa Tanzania kuingia huko kwa madai kwamba wana eneza korona hata kufikia hatua ya kufunga mipaka sasa imebaki mkuu wa mkoa Arusha kuzuia mpaka wa Namanga na mkuu wa mkoa Mara kuzu.

Dawa ya jeuri ni kiburi kama wao wamekula hela za mabeberu watafute namna nyingine tu ya kuzilipa na siyo kulazimisha ujamaa..#jiwekwerikweri.
Pima corona ukitest positive kafie kwenu. Full stop
 
Hawa jamaa wametuzoea sana.
Ila ipo siku watatuheshimu au wataheshimu utajiri wetu.
 
Tatizo Ndugu zetu wakenya wanatabia ya ubaguzi na dharau ya kutuona sisi watanzania wajinga, wasione kobe kainama ujue anatunga sheria.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom