Virusi vya corona: Anna Mghwira atangaza malori ya Kenya kutovuka mpaka wa Tanzania wa Holili

Mkuu mbona sirari jambo ilo lilikuepo tokea zamani? Hakuna lorry la Tanzania linaloingia Kenya, kinachofanyika mzigo ukitoka Nairobi ukifika pale mpakani sirari unashushwa.

Then magari ya Tanzania yanachukua pale mpakani wafanyabiashara haswa wa nguo pale Mwanza wanafanya hivi ni kama mwezi sasa.
 
Pima corona ukitest positive kafie kwenu. Full stop
 
Hawa jamaa wametuzoea sana.
Ila ipo siku watatuheshimu au wataheshimu utajiri wetu.
 
Tatizo Ndugu zetu wakenya wanatabia ya ubaguzi na dharau ya kutuona sisi watanzania wajinga, wasione kobe kainama ujue anatunga sheria.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…