Virusi vya corona: Anna Mghwira atangaza malori ya Kenya kutovuka mpaka wa Tanzania wa Holili

Wewe si ndo ulikuwa unashabikia mipaka kuwa wazi na hamna lockdown ,we ni fuata upepo huna msimamo
Kenyatta atazalisha majambazi Yawe yanakuja kupora chakula usiku Tanzania

Jeshi la polisi kuweni makini

MONEY STOP NONSENSE
 
Ukweli ni kwamba tunategemeana sana... Tanzania ni biggest consumer wa Kenyan industrial products wakati Kenya ni biggest consumer wa Tanzania Agricultural products.... we are more related to Kenya than any other East African country...
Ila hili ni pigo kwa Kenya, kuna milori kede kede ya kutoka Kenya inapakia mchele kanda ya ziwa.
 
2015 !

Mkapa.

Kila Siku Drama na Migogoro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…