- Thread starter
- #21
Mkuu zamani miaka ya mwishoni ya 80 kuna ndugu yangu ilisemekena alifariki kwa huu ugonjwa lakini ktk cheti chake cha kifo sababu ya kifo chake imeandikwa ARDS,nikagoogle nikaona wameandika Aids Related Disease,sasa naomba niulize inawezekana kweli atakuwa alifariki kwa ugonjwa huo?,manake nakumbuka hardly aligua kwa wiki 3 tu,baada ya hapo akafariki
Nitafika huko baadae nikianza kuongelea. Miaka ya 80 UKIMWI ndiyo ilianza kusambaa Nchini kwetu. Lakini hili swali litajibiwa sana nitakapoongelea uhusiano kati ya virusi vya UKIMWI na UKIMWI.
Tafadhali fuatilia.