Virusi vya ukimwi na ukimwi (insight) PART 1.

Nitafika huko baadae nikianza kuongelea. Miaka ya 80 UKIMWI ndiyo ilianza kusambaa Nchini kwetu. Lakini hili swali litajibiwa sana nitakapoongelea uhusiano kati ya virusi vya UKIMWI na UKIMWI.
Tafadhali fuatilia.
 
ARDS pia yaweza kuwa acute respiratory distress syndrome
 
Ni kweli maandalizi mazuri hupunguza chance ya maambukizi. But haiondoi kabisa uwezekano. Ndio maana tunashauriwa kuendelea kutumia condoms kwa usahihi
Nani avae hayo mamifuko?
 
Nitafika huko baadae nikianza kuongelea. Miaka ya 80 UKIMWI ndiyo ilianza kusambaa Nchini kwetu. Lakini hili swali litajibiwa sana nitakapoongelea uhusiano kati ya virusi vya UKIMWI na UKIMWI.
Tafadhali fuatilia.

Sawa mkuu,tupo pamoja
 
yani mi nashangaa, mpaka wagunduzi wa hivyo virusi vyenu feki wanasema kama ukiwa na kinga imara virus hufa vyenyewe (rejea interview ya luc montaignier) sasa nyie madaktar mlokaririshwa tu maandiko mnatoa wap guts za kuzungumzia hiyo fallacy tena kwa kujiamin namna hiyo. Au mna ten % kwa mgao wa mauzo ya ARVs
 
Nipe link hiyo aliyosema plz.. plus you have to know there has been a lot of knowledge on virusi ambayo zamani hatukuwa nayo.
With new light as long as you can show me the proof from different trusted sources nitasoma pia.
Please show me that proof you say unayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…