JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,114
- 3,541
Tunaendelea wanajamvi!
Basi, Mwaka mmoja Nyerere alikuwa anatoka India aliko kwenda kikazi kuzungumza na aliye kuwa Waziri mkuu wa Nchi hiyo na Mwenyekiti wa non aligned countries.wakati anarudi alitua kwa muda Jomo Kenyatta international airport. Waandishi wa Habari walipo fahamishwa kuwa Mwalimu yopo pale wakafika kwa wingi kuja kupata ufafanuzi wa masuala mbalimbali ya rubaa za kisiasa na kiuchumi.
Basi, baada ya kujibu maswali mengi kwa kiingereza maridhawa kabisa, Mwandishi mmoja akaamua kupima IQ ya Mwalimu.
Akamuuliza,Mwalimu wewe umetokea India naomba kuuliza : Umbali kutoka Bombay mpaka india ni kiasi gani?
Mwalimu harakaharaka akamjibu; Ni sawa na kutoka Dar es salaam hadi Tanzania!!!
Waandishi wote walicheka hawakuwa na cha kuuliza zaidi ya kusema KICHWA HIKI MANO MANO!
Mwalimu alijua kujieleza bwana! Hotuba yake kabla ya kuanza vita na Idd amini ilisisimua sana.
Alisema;
Sababu ya kumpiga tunayo
Nia ya kumpiga tunayo ns
Uwezo wa kumpiga tunao
Tutampiga Idd Amini
Watanzania tulifurahi kupindukia tukajivunia kuwa na kiongozi shupavu.