Visa card for Vodacom Vs Mater Card ya airtel, Ipi bora??

Visa card for Vodacom Vs Mater Card ya airtel, Ipi bora??

Kimla

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2008
Posts
3,810
Reaction score
6,599
Wadau, nataka kupata uzoefu wenu ,, ni card ipi ya online unawezaitumia kulipia huduma mbalimbali za mitandaion. Mfano unataka kulipia kwa dolla ila umeweka hera kwa Tsh etc, je usalama wake.. Naomba wazoefu wasaidie kushare uzoefu.
 
me natumia zote kwenye mambo tofauti

visa card ni bora zaidi maana hata hela inajitegemea kwenye kiakaunt chake ila kuna baadhi ya huduma ukishalipia mpaka msumbuane kuomba wakufungulie mfano showmax

mastercard ya airtel iko poa sana tu plus ni chap kwa haraka hakuna complication tatizo linakuja unaweza kuta kama ni kifurushi kimeisha bila kujua wanakata hela direct kwenye airtelmoney yako
 
kwa hiyo kama unataka mfano kununua kitu kwa dolla let us say 100, na wewe ukaweka Tsh, je bado italipa na wewe ukapata huduma kam ulaya?
 
kwa hiyo kama unataka mfano kununua kitu kwa dolla let us say 100, na wewe ukaweka Tsh, je bado italipa na wewe ukapata huduma kam ulaya?
mihimu ni namba, security code(CVV) na exp. date
 
Kama unafanya malipo ya PayPal kwa Airtel-Mastercard kidogo itakusumbua ,

Chaguo zuri nikutumia VISA- Vodacom
 
Wadau, nataka kupata uzoefu wenu ,, ni card ipi ya online unawezaitumia kulipia huduma mbalimbali za mitandaion. mfano unataka kulipia kwa dolla ila umeweka hera kwa Tsh etc, je usalama wake.. Naomba wazoefu wasaidie kushare uzoefu
mimi ni airtel maana pesa wanavuta kwa airtel mny moja kwa moja na kama ikigoma basi pesa inakuwepo.
 
Back
Top Bottom