Visa Card Vs Master Card

Sawa sawa mkuu EMT nimekupata. Peace!!
 

Kaka ulivyoeleza inaonekana wewe ni mfanyakazi wa Bank of America, Wells Fargo au Chase (kama sio nitaomba resume yako niisogeze utapata kazi nao)....nimependa maelezo yako yanakita pembe zote yaani kwa mtu yeyote. Nadhani wengi watakuwa wameelewa vizuri.....kwa maelezo yako....Thanks
 
Niliandika hivi

Okay, I'll give you that. I made an ass of myself. I assumed. But my contention that they are both fundamentally the same in terms of usage still stands.

Halafu nikauliza

Nikuulize - kwenye matumizi, kimsingi wewe unaona kuna tofauti?

Na wewe ukajibu ifuatavyo

As a user of those cards you're perfectly right to say that they fundamentally the same. As far as most consumers are concerned, there is no real difference between the two. But a retailer will tell you that they have some differences as well.

Sasa hapo huoni kama umekubaliana na mimi. Bundesliga ya nini sasa kaka? Kwani mtu akiuliza tofauti ya vitu fulani halafu wewe umjibu kuwa kimsingi vitu hivyo havina tofauti utakuwa hujamjibu swali lake?

Yeye kauliza tofauti ya hizo kadi mbili (na kama ulivyobainisha, swali lilikuwa la ujumla mno). Mimi nikajibu kimsingi hazina tofauti hususan kwenye matumizi yake. Sasa swali halijajibiwa kivipi hapo? Angalia jibu lako mwenyewe hapo pekundu na hapo palipopigiwa mstari.

Ulichofanya wewe ni kuelezea utofauti uliopo kwenye back end. Lakini kwenye front end unakubaliana na mimi kuwa hakuna tofauti za kimsingi. Sasa sijui tunapishana wapi. Kaazi kweli kweli.

NB: Sijanukuu hayo mengine kwa sababu ni redundant.
 

Dayuuuum dude.....you are scary.
 

Tatizo unasoma post zangu nusu nusu. Nilisema As a user of those cards you're perfectly right to say that they fundamentally the same. As far as most consumers are concerned, there is no real difference between the two. But a retailer will tell you that they have some differences as well.

Wewe umesoma tuu kwenye red, ukaacha kwenye kwenye blue. halafu kwenye swali lako ulitaka kujua tofauti "kwenye matumizi" wakati swali original ni tofauti ya hizo card kwa ujumla. In other words, swali lako ni narrow wakati lile la mwanzisha thread ni broad. Ndio maana nikasema somewhere kuwa as a consumer, rather than a citizen, you're only interested "kwenye matumizi" ya hizo card. Unless, Viper specifically calls him/herself a consumer of this world, rather than a citizen, then I won't label him/her a consumer in my posts. Nitaelezea tofauti ya hizo card objectively. Kama Viper alitaka kujua tofauti ya hizo card "kwenye matumizi", then s/he should have specified this in his/her first post. On the other hand, hata kama ange specify swali kwa kutaka kujua tofauti ya hizo card "kwenye matumizi", bado post yako ya mwanzo isingejibu hilo swali.


Soma kwa makini jibu ulilotoa hapo chini, then niambie wapi ulisema "kimsingi hazina tofauti hususan kwenye matumizi yake."

Ulichofanya wewe ni kuelezea utofauti uliopo kwenye back end. Lakini kwenye front end unakubaliana na mimi kuwa hakuna tofauti za kimsingi. Sasa sijui tunapishana wapi. Kaazi kweli kweli. NB: Sijanukuu hayo mengine kwa sababu ni redundant.

Mkuu nimeelezea tofauti ya hizo card both frontend and backend. Rejea post yangu ya mwanzo. Nimesema VISA inakubaliwa sehemu nyingi duniani kuliko Mastercard. Hiyo ni backend or frontend difference? Pia nikasema VISA inaanza na namba 4 wakati Mastercard inaanza na namba 5. Sasa katafute Visa card inayoanza na namba 5 au Mastercard inayoanza na namba 4, then ka shop nazo uone kama zitakubaliwa. Nimesema kwenye post yangu ya awali kuwa kwenye michezo kama London Olympics, Visa tuu ndio inayokubalika kununulia tiketi online. Hiyo nayo ni backend difference? Nikasema kuna merchants wanakubali visa lakini sio mastercard and vice versa. Hiyo nayo ni backend difference?

NB: Sijanukuu hayo mengine kwa sababu ni redundant.

Only if you pride yourself as a consumer, rather than as a citizen of this world.
 
Hapo mi naona nyota tu sijaelewa yupi ni muongo na yupi ni mkweli. Ila nilichokisoma kuna mmoja analazimisha kuwa alichokiongea yeye ni kweli na sio wengine. Kuna watu pia wanashabikia bila kuelewa ama kuwa na uhakika. kazi kwako
 
Hapo mi naona nyota tu sijaelewa yupi ni muongo na yupi ni mkweli. Ila nilichokisoma kuna mmoja analazimisha kuwa alichokiongea yeye ni kweli na sio wengine. Kuna watu pia wanashabikia bila kuelewa ama kuwa na uhakika. kazi kwako

At the end of the day, it will be "Have you understood the question?"
 
Hapo na wewe umetuongopea.Inawezekanaje kwenda kwenye international banks halafu upate Tanzania shillings?.
 
Hapana!.Mimi nadhani CRDB waligundua udhaifu fulani kwenye VISA wakaamua kuingia MASTERCARD wakidhani tatizo litaisha.Lakini ukweli ni kama kuruka jivu ukaangukia moto.
Kabla mimi nilikuwa na visa siku moja nikiwa nje ya nchi nikaadhirika,nilipotaka kutoa pesa nikaambiwa na mashine onana na benki yako.Ikabidi niwe Matonya kwa muda.Niliporudi nikaonana nao wakanipa Mastercard.Juzi tena nikatoka nje ya nchi kufika huko nilikokwenda kama kwamba wamegomea mastercard kila benki imeng'oa ile nembo kwenye ATM zao nikapata kazi ya kuuliza na kufuata wapi ilipo mastercard.
 
At the end of the day, it will be "Have you understood the question?"


The question itself is well understood, tatizo ni jinsi majibu yanavyotolewa ni contradictional. kila mmoja anavutia upande wake na analazimisha yeye kuwa ndo mkweli na ahamini anachokisema mwingine. Na kundi la watu fulani linamshabikia mtu fulani alihali hawana uhakika kama na yeye yuko sahii ama vipi. Ni bora kwenda ku-google mwenyewe kupata uhakika
 
Tutumie tu ATM card za kawaida, account zenyewe ni za mishahara tu, lakini ATM kibao za nini zote? Ili na wewe uonekane una VISA/MASTER CARD? salio lenyewe 300,000/- Du wabongo bwana kwa kujikweza. Sijui labda ni sifa kumiliki kitu ambacho huna matumizi nacho ama si lazima sana kuwa nacho. Kwa nini mtu una ATM ya CRDB ukachukue hela kwenye ATM za NBC wakati matawi ya CRDB yako kibao?
 
Akhsante sana Nyani ngabo umenifundisha kitu ambacho hata mimi nilikuwa natafuta jibulakini leo umenifurahisha kwa majibu yako mazuri sana.
Big up!
 


kaka wengine ni wafanyabiashara kati ya bongo na ughaibuni! wewe utaona haina maana lakini zinasaidia sana tena saaaaana
 

You missed the point!!!!!!
 
kaka wengine ni wafanyabiashara kati ya bongo na ughaibuni! wewe utaona haina maana lakini zinasaidia sana tena saaaaana

Sasa inakuwaje mtu utumie kadi usiyoielewa? Kabla hujaingia kwenye huduma fulani inatakiwa kwanza ujue hiyo huduma unayoingia. Kwa jinsi watu wanavyotoa maelezo humu inaonekana wazi kwamba wengi wao wametumbukia ktk mkumbo tu. Mtatapeliwa na wanigeria angalieni sana
 


kaka matumizi ya hizi kadi yanaeleweka wewe ndio mbishi!

tuna uwelewa mzuri kuhusu kampuni ya visa...! tulikuwa tunataka kujua tofauti yake ni nini na mastercard !... ni kweli , You missed the point!!!!!!

kauli yako hii
Ili na wewe uonekane una VISA/MASTER CARD? salio lenyewe 300,000/- Du wabongo bwana kwa kujikweza.

umesahau JF haishii TZN peke yake ! na most of Tanzanian Diaspora`s hii kadi ina umuhimu wake..! ?
 
Umeeleweka Mkuu!
 
Watu pori kwa kujigamba. Ona...., lasima ataje eti "platinum" ili aonekane ni saidi. Ndio maana siku sote mnaishia mwisho mbaya na nyumbani mnashindwa kujenga. Kwa mara nyingine tena nasema kyasaka hamwoa mwanangu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…