wakati na activate wanipe PIN # ilibidi niwapigie simu nikawambia kwamba awali nilikuwa na tembo card visa card, mbona mara hii wamenitumia mastercard! yule shori anaitwa " jully" akaniambia kwamba awali card zao zilikuwa na matatizo na visa card , ni kweli kuna kipindi ilifika nikitumia CRDB VISA card ilikuwa inagoma labda hadi nirudi kesho yake ( siongelei kuhusu tanzania , nikiwa tanzania halijawahi kunikuta hili tatizo)
nadhani ndio sababu wameamua kutoa mastercard
anyways its all good as long mi biashara zangu zinaenda fresh! since nishajua hakuna tofauti kati ya hivi vitu viwili! sina tatizo nao , maana nilitaka niwarudishie card niwakomalie nataka VISA sio MASTERCARD