RESPICIUS JOHN
Member
- Nov 5, 2017
- 5
- 1
kitu gani uliwahi kufanyiwa na mwalimu wako ambacho haikuwa haki kipindi upo shule,niliwahi kulidishwa(kukalilishwa) darasa na mwalimu kwa hila,licha yakuwa nilikuwa nimeshinda vizuri mtihani ilikuwa 2004.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka 2008 nikiwa darasa la saba nilichapwa na mwalimu mkuu kwa sababu nilitoka kwenye chumba cha mtihani nikiwa wa kwanza.kitu gani uliwahi kufanyiwa na mwalimu wako ambacho haikuwa haki kipindi upo shule,niliwahi kulidishwa(kukalilishwa) darasa na mwalimu kwa hila,licha yakuwa nilikuwa nimeshinda vizuri mtihani ilikuwa 2004.
Sehemu gani ujaelewa au ndo akili za kuvurugwa hizo,kama kuna herufi imekosewa ujue ni typing error ndugu.Wewe walikurudisha kihalali shule ingekushinda kabisa maana umekua mtu mzima bado hujui kuandika vizuri