Visa na mikasa

Visa na mikasa

Joined
Nov 5, 2017
Posts
5
Reaction score
1
kitu gani uliwahi kufanyiwa na mwalimu wako ambacho haikuwa haki kipindi upo shule,niliwahi kulidishwa(kukalilishwa) darasa na mwalimu kwa hila,licha yakuwa nilikuwa nimeshinda vizuri mtihani ilikuwa 2004.
 
Mwaka 2008 nikiwa darasa la saba nilichapwa na mwalimu mkuu kwa sababu nilitoka kwenye chumba cha mtihani nikiwa wa kwanza.
 
Nilikuwa darasa LA NNE alikuwa mwl wa hesabu alinichapa kisa sielewagi somo lake "AKANIAMBIA UNAKOSA HESABU YAANI HATA HAUFANANII NA SURA YAKO"..

Question!!! Sura inauhusiono gani na kufaulu au kufeli somo fulanii???
 
Back
Top Bottom