Visa na visanga vya misibani

Visa na visanga vya misibani

Kule kwetu alifariki mama mmoja, alikua anazo anazo. Miradi yake ilikua ni pamoja na guest house ya vyumba 25, kuku 600 wa nyama na mayai pamoja na ng’ombe.

Siku ya karamu ya msiba wake, walichinja kuku kama 50, ng’ombe mmoja. Kulikua na buffet la ndizi nyama, wali mweupe, pilau, kuku chips. Kuku mchuzi. Kila mtu alipata soda moja.

Ule msiba mpaka leo unazungumziwa huku kwetu Kwamtogole.
Mkuu na umaarufu wote huu kumbe unakaa kwa mtogole hope so utakuwa ulishakabwa kabwa siku za nyuma😂😂
 
Wazee wa chai leteni basi vitu hata kama havina sukari tutapiga hivyohivyo..🤔
 
Wengine wanatumia misiba kama sehemu ya kukutania,wengi hulala misibani ili wapate chance ya kugegedana tena utakuta wengine ni wake za watu wengine ni ndugu wanakulana wenyewe kwa wenyewe!
 
nina shida na hizi takataka za sasa hivi,
Jitu limejichubua,
wigi chafu na lina nuka,
makucha marefu machafu,
limejipulizia pafyumu kali, kuzuia harufu za uvundo kutoka kule.
limeweka miwani ya jua hata kama liko kivulini
macho juu juu kuangalia wanao mtazama.
 
Mimi nilienda kujijini kwenye msiba wa babu, kuna mzee kila tukianza kula hasa nyama! Ananituma huku anaendelea kuzilamba nyama, nikirudi nakuta mifupa[emoji16][emoji16][emoji16]!
Ningekuwa mimi akinituma namwambia "mzee usimalize hizo nyama nimezihesabu"
 
Wengine wanatumia misiba kama sehemu ya kukutania,wengi hulala misibani ili wapate chance ya kugegedana tena utakuta wengine ni wake za watu wengine ni ndugu wanakulana wenyewe kwa wenyewe!
Kweli..!Misiba ya watu maarufu mademu wengi uenda kutafuta madanga wala si kuzika😂😂
 
Back
Top Bottom