Visa vilivyowahi kunitokea maishani

Kabla hujampata lazima mapito magumu yatangulie.
Yesu alisema "wote walionitangulia mimi ni wevi na wanyang'anyi, bali mimi nimekuja ili wawe na uzima tele"
Mwanamke aliyeumizwa, akija kupata mtu sahihi atamheshimu sana. Vinginevyo nanyi msipokuwa na expirience huwa mnazingua sana.
Huwezi kumjua mbaya kabla mzuri hajaja, kadhalika huwezi kunjus mzuri kabla mbaya hajatokea.
Ulinganifu huleta ubora...joachie, thubutu
Mungu anijaalie nipate wangu sitaki mambo ya English lady.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilivyosoma mimi nimeona kwamba it is transmitted through sexual intercourse, na hiyo ya kunyonywa ni moja ya intercourse, ndio maana naomba hiyo elimu nyingine uliyonayo wewe nijifunze zaidi
Inaambukiza kupitia michubuko.

Kama huna michubuko mdomoni na hakuna majimaji huambukizwi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakuwa una matatizo ambayo hayaonekani kwa nje

Perhaps una usafi hafifu wa mwili,kinywa na meno.

Jichunguze vizuri utajigundua mapungufu/kasoro zako mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona na yeye tu ndio alikimbia

Huyu wa juzi kanitaka Jana na Leo, ananiulizia kila mara Kama nimeridhika nae....anajiona kama hakuwa bora kwangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…