Visa vilivyowahi kunitokea maishani

Visa vilivyowahi kunitokea maishani

Miaka miwili iliyopita pm zangu ulizipotezea huenda haya yasingekufika.
Jamaa kazingua sana, hata kama alikuta tatizo kwenye ofisi yako alipaswa avumilie na aje kukueleza taratibu ili ushughulikie hilo tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
Abeee
Ngoja nicheki PM zangu nikuone.

Hakukuwa na ubaya wowote kwangu am sure. May be aliamua tu kurudi home akawa hana la kuniambia.

Ila hata Kama alikuta makosa alitakiwa kunambia ningerudi zangu home mapema, nilale kwa kujinafasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom