Englishlady
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 2,736
- 3,644
- Thread starter
- #81
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana, watoto ni hazina ya baadae.
Nahisi na mimiUsikute ni parodi la kijana humu jf
Nimesema tuuuu🙄
Nilivyosoma mimi nimeona kwamba it is transmitted through sexual intercourse, na hiyo ya kunyonywa ni moja ya intercourse, ndio maana naomba hiyo elimu nyingine uliyonayo wewe nijifunze zaidi
Aisee.sadUmebaaana sasa umeachia, hapo ndipo neno umalaya linapochukua nafasi yake smoothly
Sent using Jamii Forums mobile app
PM kuna mambo ya ajabu sana yanaendelea.
Hujasikia kuna corona?Msimu wa mabungo ndo unaishia hivyooo...
Nakutizama tuu unavyojisahaulisha...
Yani point namba nne imeniacha hoi
Asa kwanini aliingiza akatoa akaaga kwenda kula hakurudi?ama ndio zile kashfa zao za pussy kunuka?