luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,160
- 21,676
Mmmh, kwa upande wangu naona haifai.
Kwani umeolewa dia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh, kwa upande wangu naona haifai.
You are Desperate. Umri umesonga unaona bora ule raha maana menopause inapiga hodi very soon.
View attachment 1418232
Sijaolewa.Mmmh, kwa upande wangu naona haifai.
Kwani umeolewa dia?
Basi ikiwezekana tunza siri, ni hilo tu
ok, nashukuru kwa kunifahamisha hilo.Inaambukiza kupitia michubuko.
Kama huna michubuko mdomoni na hakuna majimaji huambukizwi
Sent using Jamii Forums mobile app
Probably !! you are right .Kwa mahesabu ana miaka 40. Psychologicaly she is not ok.
Mnaoenda pm kuweni makini.
Habari ya jumatatu ya Pasaka!!!
Leo nimeamua nilete visa vyangu nilivokutana navyo katika maisha.
1. Nilipokuwa kidato Cha 5 mtaani kwetu kulikuwa na mkaka ananitania mchumba angu, mchumba angu...basi Kuna siku akasema nisindikize kwa shangazi yangu Magomeni Mikumi, nikakubali tukapanda daladala tukashuka tukaingia kwenye nyumba nyekundu....kumbe gesti akalipia mwenyewe mi nikabaki nimeduwaa...sikuingia ndani nikakaa nje nikafikiri nikaondoka zangu, nikarudi kwa miguu mpaka nyumbani, toka siku ile alikuwa ananionea aibu na urafiki ukaisha.
2. Wakati naanza kazi huko mkoani kijijini nilikabidhiwa pikipiki sijui kuendesha...akanisaidia mek mmoja hivi, tukaanza safari toka mjini mpaka huko kijijini....basi akadai pikipiki imeharibika, akatengeneza tengeneza ikawaka ila tukafika kijijini usiku na tulivofika tu kwake akadai imeharibika, akakorokochoa wee ikabidi nilale kwake....kumbe aliweka mazingira ya kula papuchi, nilichomoa,usiku nikawa nawaza hivi Mungu ndio umenileta huku nije kufa kwa Ukimwi, asubuhi kulivokucha pikipiki ikawaka tukaondoka.
3. Kipindi hicho kulikuwa na ujenzi wa sekondari basi zilinunuliwa mbao mjini zikapakiwa tukatoka mjini na dereva wa lori mpaka bushi, njiani tukawa tunapiga stori tukazoeana, tukafika bush nikamwacha wanashusha mbao mi nikaenda kwangu akasema atakuja nikachukulia poa, basi baada ya kushusha mbao akaja, akala, muda wa kulala hataki kuondoka, nikasema hee makubwa haya, nikachukua blanketi nikampa alale sebuleni, aligonga usiku mpaka akachoka, alfajiri aliondoka bila kuniaga.
Mama mwenye nyumba anajua mpaka leo nililala na yule dereva. Asubuhi yake nikaenda kwa mtu aliyekuwa anashughulikia watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu ili anitafutie binti wa kuishi nae, maana niliona siku nitabakwa buree,nikapata binti wa darasa la nne nikamsomesha mpaka chuo, Sasa anajitegemea.....wanaume walikuwa wakija wanaondoka wenyewe, mazingira yangu ya kazi yalikuwa ni ya kufanya kazi na wanaume 98%.
4. Hii ni majuzi tu baada ya kuona maisha ni hayahaya sina sababu ya kukompliketi, nikaona ngono ni sawa tu na kula chakula ama kinywaji tu, nikaona na mimi nijipage raha tu nitakavyo. Kule love connect kuna mtu aliweka bango la kutafuta mtu wa kula raha nikamfata PM tukayajenga, tukaonana, tukakubaliana kila mmoja karidhika na mwezake, basi tukapanga siku tukakutana loji, tukaanza yetu, fore play, akaingiza halafu akatoa, akaendelea na plays, tukapumzika akadai kasahau kula,mi nilikuwa nishakula, akaenda kula sikumsindikiza, nikapitiwa na usingizi kustuka saa 7 usiku hajarudi, nikatuma smz mbona hujarudi sikujibiwa, wasapu hivyohivyo hakuna jibu, baadae kidogo nikapiga simu inatumika, nikarudia baada ya muda inatumika nikajua nishatorokwa, nikazima simu nikalala, japo kwa mang'amung'amu nikawa nawaza huyu mwizi, au mwuaji atarudi kufanya yake, nikajiuliza nini kibaya nimefanya sikuona kwa kweli. Kurudi nyumbani niliogopa mida imeenda.
Saa 11 alfajiri nilivaa harakaharaka hata sikuoga, nikatoka nduki kila muda naangalia nyuma, nikakutana na mbaba anatembea haraka huyo nikasema huyuhuyu namfata ila kwa kukimbia maana ana mihatua hiyoo....nikafika barabarani nikapanda daladala, nikafika nyumbani nikaenda kulala kwanza. Sijaamuuliza huyu mtu na sikusema chochote, jana nikampa salamu za Pasaka akajibu.
5. Ijumaa kuu nikasema nikatubu niache huu upuuzi, nikatubu na padre alikuwa mzuri Sana akanisizitiza niache, nikafanya malipizi. Wiki iliyopita kuna mtu alitumie inbox FB akitaka namba yangu, nikampa bila kutafakari niliona tushawahi chati mwaka 2012. Akanipigia akasema ananijua sana,na alishanitongoza nikajifanya nikawa nanata kujifanya matawi ya juu......mi sikukumbuka kabisa.
Basi j1 akaniita kwake nikasema isiwe tabu nikaenda nimsikilize....nikajua tutafanya maongezi tu...kumbe mwenzangu anawaza papuchi....basi na hivi nilishaachaga komplikesheni tukala rahaa....maisha yanaendelea sijui nitarudi kuungama tena, mweeee haya majaribu jamaniii....ha ha ha ha
Wewe mwenzangu umewahi kukutana na visa Kama hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani point namba nne imeniacha hoi
Asa kwanini aliingiza akatoa akaaga kwenda kula hakurudi?ama ndio zile kashfa zao za pussy kunuka?
Siwezi kutaja kwa sababu Sina udhaifu Kama ulio nao wewe wa kuja kujianika hapa na id yako feki
Wanakuja kula raha shida iko wapi bwana, mbona wataka kuleta komplikesheni nilizokuwaga nazo mimi na leo nimebreak the rules...Kwa mahesabu ana miaka 40. Psychologicaly she is not ok.
Mnaoenda pm kuweni makini.
Bado niwaze kuolewa tu.Basi ikiwezekana tunza siri, ni hilo tu
Kwani uliambiwa ukifika menopause hufanyi?Kama umeshaajiriwa, hujaolewa, unampata mtoto wa darasa la nne unamsomesha hadi chuo anamaliza bado hujaolewa , na sasa bado uwezo wa kufanya mavituz bado upo?menopause bado?
He is very rightProbably !! you are right .
Ila haya maisha haya.......
I love you.
Yani mambo uliyoyaeleza ndio maisha halisi ya tunavyoishi wengi wetu na ndio mambo mengi yanatokeaga.
Nilichokupendea ni kuwa wewe unaineka upo real. No fake.