Englishlady
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 2,736
- 3,644
- Thread starter
- #141
Unataka unipe ushauri?Tatizo la JF mtu akileta uzi wanaanza kumfukunyua wee wanafukunyua mpaka nyuzi za zamani.
Yani ni balaa.
Ila dada yangu Eblish lady ni pm tuongee kiutu uzima. Watoto watakuumiza kichwa bure
Sent using Jamii Forums mobile app