Visa vilivyowahi kunitokea maishani

Visa vilivyowahi kunitokea maishani

Swala la harufu sikubaliani nalo maana jamaa asingeweza kuzamia mpaka uvinza,,, kingine nakupongeza maana ingekua mwingine angeshaanza kusingizia jamaa Alikua kiba100
 
Habari ya jumatatu ya Pasaka!!!

Leo nimeamua nilete visa vyangu nilivokutana navyo katika maisha.

1. Nilipokuwa kidato Cha 5 mtaani kwetu kulikuwa na mkaka ananitania mchumba angu, mchumba angu...basi Kuna siku akasema nisindikize kwa shangazi yangu Magomeni Mikumi, nikakubali tukapanda daladala tukashuka tukaingia kwenye nyumba nyekundu....kumbe gesti akalipia mwenyewe mi nikabaki nimeduwaa...sikuingia ndani nikakaa nje nikafikiri nikaondoka zangu, nikarudi kwa miguu mpaka nyumbani, toka siku ile alikuwa ananionea aibu na urafiki ukaisha.

2. Wakati naanza kazi huko mkoani kijijini nilikabidhiwa pikipiki sijui kuendesha...akanisaidia mek mmoja hivi, tukaanza safari toka mjini mpaka huko kijijini....basi akadai pikipiki imeharibika, akatengeneza tengeneza ikawaka ila tukafika kijijini usiku na tulivofika tu kwake akadai imeharibika, akakorokochoa wee ikabidi nilale kwake....kumbe aliweka mazingira ya kula papuchi, nilichomoa,usiku nikawa nawaza hivi Mungu ndio umenileta huku nije kufa kwa Ukimwi, asubuhi kulivokucha pikipiki ikawaka tukaondoka.

3. Kipindi hicho kulikuwa na ujenzi wa sekondari basi zilinunuliwa mbao mjini zikapakiwa tukatoka mjini na dereva wa lori mpaka bushi, njiani tukawa tunapiga stori tukazoeana, tukafika bush nikamwacha wanashusha mbao mi nikaenda kwangu akasema atakuja nikachukulia poa, basi baada ya kushusha mbao akaja, akala, muda wa kulala hataki kuondoka, nikasema hee makubwa haya, nikachukua blanketi nikampa alale sebuleni, aligonga usiku mpaka akachoka, alfajiri aliondoka bila kuniaga.

Mama mwenye nyumba anajua mpaka leo nililala na yule dereva. Asubuhi yake nikaenda kwa mtu aliyekuwa anashughulikia watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu ili anitafutie binti wa kuishi nae, maana niliona siku nitabakwa buree,nikapata binti wa darasa la nne nikamsomesha mpaka chuo, Sasa anajitegemea.....wanaume walikuwa wakija wanaondoka wenyewe, mazingira yangu ya kazi yalikuwa ni ya kufanya kazi na wanaume 98%.

4. Hii ni majuzi tu baada ya kuona maisha ni hayahaya sina sababu ya kukompliketi, nikaona ngono ni sawa tu na kula chakula ama kinywaji tu, nikaona na mimi nijipage raha tu nitakavyo. Kule love connect kuna mtu aliweka bango la kutafuta mtu wa kula raha nikamfata PM tukayajenga, tukaonana, tukakubaliana kila mmoja karidhika na mwezake, basi tukapanga siku tukakutana loji, tukaanza yetu, fore play, akaingiza halafu akatoa, akaendelea na plays, tukapumzika akadai kasahau kula,mi nilikuwa nishakula, akaenda kula sikumsindikiza, nikapitiwa na usingizi kustuka saa 7 usiku hajarudi, nikatuma smz mbona hujarudi sikujibiwa, wasapu hivyohivyo hakuna jibu, baadae kidogo nikapiga simu inatumika, nikarudia baada ya muda inatumika nikajua nishatorokwa, nikazima simu nikalala, japo kwa mang'amung'amu nikawa nawaza huyu mwizi, au mwuaji atarudi kufanya yake, nikajiuliza nini kibaya nimefanya sikuona kwa kweli. Kurudi nyumbani niliogopa mida imeenda.

Saa 11 alfajiri nilivaa harakaharaka hata sikuoga, nikatoka nduki kila muda naangalia nyuma, nikakutana na mbaba anatembea haraka huyo nikasema huyuhuyu namfata ila kwa kukimbia maana ana mihatua hiyoo....nikafika barabarani nikapanda daladala, nikafika nyumbani nikaenda kulala kwanza. Sijaamuuliza huyu mtu na sikusema chochote, jana nikampa salamu za Pasaka akajibu.

5. Ijumaa kuu nikasema nikatubu niache huu upuuzi, nikatubu na padre alikuwa mzuri Sana akanisizitiza niache, nikafanya malipizi. Wiki iliyopita kuna mtu alitumie inbox FB akitaka namba yangu, nikampa bila kutafakari niliona tushawahi chati mwaka 2012. Akanipigia akasema ananijua sana,na alishanitongoza nikajifanya nikawa nanata kujifanya matawi ya juu......mi sikukumbuka kabisa.

Basi j1 akaniita kwake nikasema isiwe tabu nikaenda nimsikilize....nikajua tutafanya maongezi tu...kumbe mwenzangu anawaza papuchi....basi na hivi nilishaachaga komplikesheni tukala rahaa....maisha yanaendelea sijui nitarudi kuungama tena, mweeee haya majaribu jamaniii....ha ha ha ha

Wewe mwenzangu umewahi kukutana na visa Kama hivi.



Sent using Jamii Forums mobile app
We huolewi ukawa unakula raha mazima.mwisho wa zambi yyt huwa si mzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Cheers

Hapa naweza msaidia mtu
Iko hivi,
1. Mwanamke ukishaingiliwa bao la kwanza, nyanyuka nenda chooni kajioshe vizuri uke wako njoo subiria round ya pili, shahawa zikigandiana husababisha harufu mbaya ya uke

2. Ikiwa umesafiri umbali mrefu kwenda kugongwa, mathalani umetoka Mbezi mwisho ukaenda Mbagala Zakiem, mbilinge mbilinge za usafiri na jua kali zikapelekea ukatokwa na jasho, ukifika huko kwa mwanaume wako usikubali akugonge kabla hujaoga, mwambie acha nioge kwanza, huko bafuni osha k yako vizuri.

3. Epuka kuvaa chupi ambazo ukijamba zinazuia harufu kutoka kwa haraka, kuzurura kwa harufu hiyo hupelekea k kunuka

4. Epuka kuvaa pedi moja kwa muda mrefu sana, kama wewe ni mfanyakazi au mwanafunzi, hakikisha unapoenda kazini au shuleni/chuo unabeba pedi zako za kubadilisha ukiwa hukohuko, kuvaa pedi kwa muda mrefu hupelekea k kunuka

5. Wanawake ni watu ambao wanaweza wakaugua magonjwa ya zinaa bila wao kujijua, hivyo jenga mazoea ya kwenda kupima mkojo wako angalau kila baada ya miezi mitatu ili uweze kupata tiba sahihi kwa wakati. Magonjwa ya zinaa pia hupelekea k kunuka.

6. Hakikisha mwenza wako anatumia kondomu kwa usahihi, baadhi ya vilainishi ambavyo mwanaume anaweza akatumia ikiwemo mafuta ya kujipaka, yanaweza kukuletea athari mbalimbali ukeni ikiwemo harufu mbaya

7. Uvaaji wa chupi kwa muda mrefu, mtoto wa kike jitahidi uvae chupi atleast mbili kwa siku, utakayoshinda nayo isiwe ndio hiyo utakayolala nayo

8. Acha usanii kwenye kuoga, mtoto wa kike unaenda kuoga bafuni na maji ndoo ndogo tena iko nusu, oga utakate vizuri, uchafu sio sifa.

9. Nyoa mavuzi, kichaka hicho ni maficho ya bacteria, ikibidi nyoa kila unapoenda kuoga, jikaushe vizuri, jipake au jifukize manukato yatakayokufanya ujisikie fresh.

10. Usitumie choo kichafu, hakikisha choo unachochuchumaa kujisaidia ni kisafi hasa, mwaga maji baada ya kutumia choo ili kumlinda ajae, osha uke wako vizuri baada ya kujisaidia(kukoja/kunya), kausha uke wako. Usivae chupi ikiwa uchi una majimaji.

11. Kwa wale mnaojichua, hakikisheni mnaosha uke wenu mkishamaliza kujichua vyema, usilale hivyo hivyo.

12. Kama tayari unatatizo la kunuka k, fika hospitali, muone daktari, mueleze tatizo lako, atachukua vipimo, utapata tiba sahihi na utapona, baada ya hapo zingatia ushauri huu.

13. Umewahi kukatiza mtaani ukakuta kuna dampo au mfereji ulioziba unanuka kinoma mpaka ukaziba pua yako? Lakini pembeni kuna mama anakaanga mihogo na kuna wana kibao wanatia stori huku wakisubiria mihogo iive wale hapohapo. Yes, iko hivi, pua inatabia ya kuzoea mazingira, yule mama na wale vijana wala hawahisi kama pale kuna harufu mbaya inayochukiza, wanajionea sawa tu, na wewe unaepita huku unaziba pua wanakuona una mashauzi tu. Hivyo hivyo katika miili yetu, unaweza ukawa unanuka mdomo, kikwapa, uchi au hata nyayo lakini pua yako kwakuwa imeshazoea hiyo harufu, inakupa taarifa kuwa kila kitu kipo sawa boss, sasa siku mtu mwingine akikuvua chupi ndipo anapohisi utofauti, mwenye mapenzi ya kweli na wewe atakupigania upone hilo tatizo, baharia atafanya kama alichomfanyia mleta mada, speed nyingi tena bila kugeuka nyuma.
Chukua hatua, acha kujiona huna tatizo wakati unaumwa na unahitaji matibabu na tiba zipo, kujikomelea perfyumu kali wakati hujaoga ni kutusababishia uvundo usiomithilika

Ndimi
Iamokay
#CORONA*IPO*JIHADHARI
Wanawake kujeni msome kozi hapa....
 
ha ha ha....mnawaza upande mmoja tu. vipi ikiwa yeye ndio mwenye tatizo? pengine mashine iligoma nikawa sijui linaloendelea? au alikuwa ana mtu mwingine anamsubiri huko loji akashindwa kurudi? Au alienda kubust akakosa?

mi najiamini na pussy yangu aisee iko vizuri, huyu wa mwisho ananitumia text kutaka twende tena.
Taratibu, usije ukajikuta kwenye kundi linaloitwa changudoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda ulilia kama chura ndio maana jamaa alikimbia....
mapenzi ya uzeeni hasara sana


Mbo comment nyingi sana....ha ha ha ha,....njoo bathi na wewe uone kama ni harufu ama bwawa...maana si kwa comments hizo. I want to prove you wrong.
 
Back
Top Bottom