Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Hii Dunia isikie vituko na majanga yake kwa wengine yasikukute.
Dada Jenifa amepitia visa na mikasa vya housegirls wachawi kwa uchache ntaweka visa vitatu (3).
1. Huyu alimtoa kijijini kwao kwa ant yetu alikuwa na kawaida yq kuharibu kila aina ya mmea dawa uliopo bustanini hasa ukifikia hatua ya kustawi majani yakiota alitumia fursa ya kupqlilia mboga kuharibu kila mmea dawa, iwe alovera, iwe mlonge, iwe dawa za tumbo, kikohozi, za watoto wachanga, za macho. Dada siku akienda anakuta lahaula la kwata la kuchumpa la kumparamia. Imeisha hio. Huyu dada alistukq mwenyewe akamtimua baada ya kuvumilia sana sana.
2. Huyu yeye ni hatari alikuwa anawaalika na kuwaita wazazi wake kichawi kila siku muda wa chakula jioni wazazi wanafika kwa Dada wanakula msosi na wanafungashiwa unga mchele, mayai nq kuku wqnaondoka kichawi wanasepa bila dada kujua. Shangazi alikuja kwa Dada akihisi jambo pastor akaletwa housegirl akalipuka akasema yote wakamtimua.
3. Huyu yeye alikuwa anamfundisha uchawi mtoto wa Dada anamchukua hadi kwa wazazi wake na mabaharia wengine wa kichawi, shida ikaja mtoto akawa anashindwa hayo mafunzo yao, baadae toto akaanza kuumwa, sisteri akaleta mchungaji katika maombi housegirl akalipuka akasema yote na akasema huku kuumwa ni maandalizi ya kumla baada ya kuona anashindwa kufuzu tuisheni ya uchawi. Dada akamtimua.
Karibuni leteni visa vyenu tushee Mandingo ya kichawi ya housegirls.
Kwa hayo machache mimi ni.
Baharia wenu ndugu. Wadiz