Visa vya kweli: Siri za kujamiiana katika koo

Visa vya kweli: Siri za kujamiiana katika koo

Kujamiiana ni kushirikiana na mtu wako wa karibu katika jambo lolote either ktk kutatuliana matatizo. Sasa kwa akili kama hizi za watanzania sidhani kama ccm mtakuja muing,oe maana akili zenu zimelalia chini mnawaza ngono tu
 
Hivi,una uhakika hauumwi?
Kuumwa kwetu ni kitu ambacho kinatokea mara moja moja kwa miaka mingi sana.. Tunatumia sana vyakula maalum na dawa za mitishamba, zinakinga maradhi mengi. Tunaamini katika tahadhari kabla ya ajali.

Mfano, kwetu kitu cha kwanza kukila ukiamka ni juisi ya machungwa na asali, haijalishi unaanza kipi.
 
Kuumwa kwetu ni kitu ambacho kinatokea mara moja moja kwa maiaka mingi sana.. Tunatumia sana vyakula maalum na dawa za mitishamba, zinakinga maradhi mengi. Tunaamini katika tahadhari kabla ya ajali.

Mfano, kwetu kitu cha kwanza kukila ukiamka ni juisi ya machungwa na asali, haijalishi unaanza kipi.
Nimeelewa shida iko wapi.
 
Kujamiiana ni kushirikiana na mtu wako wa karibu katika jambo lolote either ktk kutatuliana matatizo. Sasa kwa akili kama hizi za watanzania sidhani kama ccm mtakuja muing,oe maana akili zenu zimelalia chini mnawaza ngono tu
Yote hayo utayapata kwenye koo za simba, kuanzia kushirikiana kimaendeleo, kikazi, kijamii na kulana.

Hakuna Tanzania hii wenye maendeleo ya kuwapita koo za simba.
 
Back
Top Bottom