Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wa tangahatupigi picha hizo, ni mwiko kabisa.
Nitashukuru sana😃Nikiipata ntakupatia unywe😊
Ni ushirikinaMakubwa
Koo za kimangi zina balaaNinachokijua kwetu ni kosa kuolewa au kuoa ukoo wa mangi, kwa kuwa babu mzaa mama aliuliwa huko kwa mangi.
Hata watu wazima walikuwa wakipotelea kwenye mashamba yao.Koo za kimangi zina balaa
Katika kila kichumi cha mangi walikuwa wanazika vitoto vichanga vikiwa hai.
NaamHata watu wazima walikuwa wakipotelea kwenye mashamba yao.
Sijasoma Naomba samari!
Wadudu wakiupanda mwili ni mwendo wa mselelekoNitashukuru sana😃
Tuondolee ujinga wako hapa. Wadigo hatuko hivyo, wala hakuna wadigo maeneo ya Amani huko Muheza kama ulivyodai.Mimi Mdigo. Wamasai na Watutsi wengi sana wapo koo za simba, hujaona juzi koo za simba zimeoana?
na nyie mlio oa kaskazini kuweni macho
Kumkanda Dada yake wa tumbo 1 kumkanda mpaka Mama yake aliemzaa amewakanda mashangazi zake mpaka Mama zake wadogo na wakubwaKwahiyo unaona sifa mwenyeweee
Yaani aibu nimeona mimi bora angebaki na hii siriKumkanda Dada yake wa tumbo 1 kumkanda mpaka Mama yake aliemzaa