Visa vya mapenzi visivyosahaulika

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] we boya umenivunja mbavu

Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app
 
Hii siku sijui ingekuwaje tu.

Nilikuwa nadate na mtoto wa mjeda hapo Mwanza Bugarika mambo yakawa yamekolea hatari, mtoto mixer kuja kwetu mimi kwenda kwao fulesh tu. Siku hiyo jmos hivi alikuja hom mapema tu, tukasebenza pale baadae mida ya saa kenda hivi akasema nimrudishe kwao, mimi na cousin yangu tukapanda gari mpaka kwao.

Ile nimekaa nae nje akaniambia ngoja niingie ndani chap narejea, nikamwambia uje na maji ya kunywa. Sasa kwa nje kuna madogo walikuwa wanacheza na wadogo zake, si muda nikaona fender ya jeshi iko spidi mbaya inakuja upande wa ile nyumba, madogo walivyoona vile wakachimba kupitia matundu ya fensi. Mimi ni nani!? Nikanusa harufu ya hatari pale, na mimi nikachimba! Si akaanza kuniita huku ananikimbiza nirudi! Kmmmmk nilikimbia! Nilikimbia na mbaya zaidi nilikuwa nimevaa Timberland kiatu, ni kizito ila nikaona wacha nijiponye mikononi mwa mrangirangi yule, nikaenda kwa mchizi wangu pale maghorofa ya relwe nikawapa mkasa mzima, tulicheka hatari.

Siku kadhaa mbele demu akaniita tena, ilikuwa ni kwenye mgahawa wa mama yake, sikuingia ndani kumbe yule mama alipewa stori nzima ndio kunipliz niingie tu ndani kule yule mumewe hawezi kufika na akaniomba sana radhi kwa kitendo cha mumewe.
 
uongo mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…