Visa vya mapenzi visivyosahaulika

Visa vya mapenzi visivyosahaulika

Mwaka huu mwezi wa 5 nilipata safari ya kikazi kwenda Dar.

Ila kabla ya hiyo safari mwezi wa 2 nilishasafiri kutoka Dar kuja Mkoani na kwenye siti nilikaa na mtoto mmoja hivi mzuriii.

Kwenye maongezi aliniambia yeye yupo UDSM anasoma mwaka wa pili bachelor.
Then huku Mkoani ni kwao.
Hivyo tulivyoshuka tukabadilishana namba na kila mtu akala njia yake.

Hivyo huo mwezi wa 5 nilimpa taarifa kuwa nakuja Dar nitashukia guest.

Aliniomba nishukie kwa dada ake ila dada ake na shemeji hawapo wamesafiri.

Mwana nikafika Mbezi nikachukua daladala mpaka kwao.

Nilifika mida ya saa 11 jioni.

Hivyo mpaka Saa 4 nilijihakikishia kweli hakuna mtu zaidi yake.

Basi akapika then tukala na kwenda kulala.

Bwanaa ile alfajiri nipo room ya demu napiga morning glory...
Ghafla mlango wa chumba cha demu unafunguliwa na dada ake demu anatukuta nipo juu ya kiuno cha mdogo ake napiga dog style..!!!

Kumbe dada mtu alikuwa na funguo then alifungua milango na mageti na alivyoingia ndani alienda direct kwenye chumba cha demu.

Sisi kwakuwa tulikuwa tunalizana hata hatukusikia milango ikifunguliwa.

Na bahati mbaya demu hakufunga mlango wa chumba chake na funguo.

Dada mtu kuona vile alirudi haraka, aisee nilivaa fasta na kusepa.

Hata sijui ile nyumba nilitokaje mzima.

Ila ndani ya dakika 2 baada ya kufumaniwa nilikua nje Nina rasket yangu na nishavaa na kukimbia.

Dah ilikuwa nomaa sanaaa

#YNWA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Mwaka huu mwezi wa 5 nilipata safari ya kikazi kwenda Dar.

Ila kabla ya hiyo safari mwezi wa 2 nilishasafiri kutoka Dar kuja Mkoani na kwenye siti nilikaa na mtoto mmoja hivi mzuriii.

Kwenye maongezi aliniambia yeye yupo UDSM anasoma mwaka wa pili bachelor.
Then huku Mkoani ni kwao.
Hivyo tulivyoshuka tukabadilishana namba na kila mtu akala njia yake.

Hivyo huo mwezi wa 5 nilimpa taarifa kuwa nakuja Dar nitashukia guest.

Aliniomba nishukie kwa dada ake ila dada ake na shemeji hawapo wamesafiri.

Mwana nikafika Mbezi nikachukua daladala mpaka kwao.

Nilifika mida ya saa 11 jioni.

Hivyo mpaka Saa 4 nilijihakikishia kweli hakuna mtu zaidi yake.

Basi akapika then tukala na kwenda kulala.

Bwanaa ile alfajiri nipo room ya demu napiga morning glory...
Ghafla mlango wa chumba cha demu unafunguliwa na dada ake demu anatukuta nipo juu ya kiuno cha mdogo ake napiga dog style..!!!

Kumbe dada mtu alikuwa na funguo then alifungua milango na mageti na alivyoingia ndani alienda direct kwenye chumba cha demu.

Sisi kwakuwa tulikuwa tunalizana hata hatukusikia milango ikifunguliwa.

Na bahati mbaya demu hakufunga mlango wa chumba chake na funguo.

Dada mtu kuona vile alirudi haraka, aisee nilivaa fasta na kusepa.

Hata sijui ile nyumba nilitokaje mzima.

Ila ndani ya dakika 2 baada ya kufumaniwa nilikua nje Nina rasket yangu na nishavaa na kukimbia.

Dah ilikuwa nomaa sanaaa

#YNWA
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] we boya umenivunja mbavu

Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app
 
Hii siku sijui ingekuwaje tu.

Nilikuwa nadate na mtoto wa mjeda hapo Mwanza Bugarika mambo yakawa yamekolea hatari, mtoto mixer kuja kwetu mimi kwenda kwao fulesh tu. Siku hiyo jmos hivi alikuja hom mapema tu, tukasebenza pale baadae mida ya saa kenda hivi akasema nimrudishe kwao, mimi na cousin yangu tukapanda gari mpaka kwao.

Ile nimekaa nae nje akaniambia ngoja niingie ndani chap narejea, nikamwambia uje na maji ya kunywa. Sasa kwa nje kuna madogo walikuwa wanacheza na wadogo zake, si muda nikaona fender ya jeshi iko spidi mbaya inakuja upande wa ile nyumba, madogo walivyoona vile wakachimba kupitia matundu ya fensi. Mimi ni nani!? Nikanusa harufu ya hatari pale, na mimi nikachimba! Si akaanza kuniita huku ananikimbiza nirudi! Kmmmmk nilikimbia! Nilikimbia na mbaya zaidi nilikuwa nimevaa Timberland kiatu, ni kizito ila nikaona wacha nijiponye mikononi mwa mrangirangi yule, nikaenda kwa mchizi wangu pale maghorofa ya relwe nikawapa mkasa mzima, tulicheka hatari.

Siku kadhaa mbele demu akaniita tena, ilikuwa ni kwenye mgahawa wa mama yake, sikuingia ndani kumbe yule mama alipewa stori nzima ndio kunipliz niingie tu ndani kule yule mumewe hawezi kufika na akaniomba sana radhi kwa kitendo cha mumewe.
 
Nikiwa nimemaliza kidato cha nne miaka ya 2000's kweusi nikawa nimechill tu home hakuna ishu hakuna mpango, mjini hakuna mashamba. Kwa hiyo nikawa busy na mapenzi na by that time nilikua nimemzimia kwa binti mmoja hivi anakaa mtaa wa tatu tokea home.

Tulikuwa tunapendana sana yaani hata Mitume wangeingilia kati tusingeachana. Sasa binti alikua yuko kidato cha tatu na anasoma shule ya kutwa na kwao hua yupo yeye, wazazi na beki tatu tu, binti nikamzoesha michezo hii ya mapenzi akawa amezoea hadi ikafikia kipindi sasa tukawa tunafanya mapenzi nyumbani kwao bila woga.

Siku moja binti akawa amewahi kutoka shuleni, akanipitia home tukaenda kwao, tukajifungia chumbani kwake, na beki tatu wao hakuaga na shida kwa sababu tulikua tunamtoa toa sana vishilingi, beki tatu mwenyewe hajui kiswahili vizuri wamemtoa vijiji vya ujima huko hivyo nyumba ilikuwa yetu. Sasa hii siku tuko chumbani kwa binti tukasikia kama kikundi cha watu kimeingia ndani.

Kumbe walikua ni baba ake na binti, mama yaake, mashangazi na wana ukoo, wazazi walienda kuwapokea wana ukoo kutoka vijijini wamekuja mjini kwenye sherehe ya ndugu yao mwingine.

Sitokuja kuisahau hii siku, kwanza ilikua mchana na sio muda sahii wa kutoka shule, binti ametoka tu nje wazazi wake wote wakamvaa kwanini ametoroka shule, baba yake akamwambia akachume fimbo huo ujinga hautaki ndani ya nyumba yake. Mind you mie niko chumbani kwake na yote yanayoendelea nayasikia.

Ghafla nikaanza kuona kwamba wezi walioiba sokoni hua wanakufa vipi. Israel mtoa roho huwa anakuja na marungu ya namna gani. Lakin pia nikaona kwamba motoni kunafananaje. So kuokoa nafsi ikabidi nizame chini ya uvungu. Malaika wa haki ni kwamba walisimama mlangoni pale sio baba sio mama sio mashangazi waliokuja chumba cha binti yao. Binti akawa na kazi ya kuja kunichungulia na kuongea maneno kama mwehu.

Wakuu nilikaa chini ya uvungu kwa muda wa siku mbili, binti alikua ananiletea maandazi na maji na wali kiasi halafu kesho yake akaenda shule akanifungia ndani.

Nilivyotoka ilikua ni miujiza maana ukoo ule uliaga ukaondoka nyumba ikawa huru, kule home walinitafuta sehem zote bara na visiwani sikupatikanika wakajua wanga wamenichukua msukule. Nilivyorudi wakafanya party ila siri hiyo nilikuja kuwaambia miaka mingi mbele.

Kisa cha pili.

Nikiwa chuo, miaka ya elfu mbili kweupe hapa, J.K Rais enzi izo wanachuo tunashinda kwenye ma bar japo boom ilo enzi izo sio sawa na la sasa.

Nikiwa chuo nilikua nimepanga gheto mwenyewe, chumba cha jirani kulikua na ndugu yangu wa dhati kabisa, huyu bwana alikua ni wale wanaopenda kufa yaanI akimpenda mtu anakua hadi anakera. Sasa ndugu yangu huyu alikua anampenda mwanafunzi kidato cha nne enzi izo na ka binti kalikua nako kanamuelewa ndugu yangu na enzi izo hapa bongo ukisema wewe ni mwanachuo nchi nzima wanakuogopa sababu la saba walikua ni wengi kila kona.

Siku moja akafanya risk kubwa sana alimuita huyu mwanafunzi akampanga kwamba ukitoka shule kesho pitia hapo kwake, so kabinti kakatii kesho yake kakawa kamefika. Kuja kustuka ni saa tatu usiku, binti anakaa mbali akagoma kuondoka akasema ataenda kesho ila ata tunga uongo tu kwao. Kumbe huku nyuma wazazi wa huyu binti walishamtafuta binti yao kwa marafiki zake wote na kwa ndugu wakamkosa.

Binti kesho amewasha tu simu, akapigiwa na dingi yake basi dingi likampa vitisho ambavyo likasema 'ukirudi nyumbani nakuchinja kwa msumeno', Binti ikabidi aogope na hapo ndio matatizo yalipo anzia. Kuanzia siku hio jamaa akaanza kuishi na binti na ndugu yangu nae mshamba akajua amesusiwa sasa muda wa kujipigia atakavyo, huku nyuma msako ukatengamaa binti akajulikana yuko wapi. Usiku mmoja tukashangaa mamwera hawa hapa wameizunguka nyumba yote na tena tuka kamatwa nyumba nzima ila sie wakatuachia siku ile ile. Mshikaji wangu na binti wakaenda ndani. Jamaa akapewa kesi ya kutembea na mwanafunzi, kumtorosha and so. miaka 30 hio hapo. Na amekamatwa redhanded.

Kilichotokea jamaa ilibidi kule kijijin kwao wauze ng'ombe zote na mashamba kuja kutembeza mrungula huku town ndio mambo kusettle na kesi haikufika kwa ponsio pilato ila jamaa akatengwa na wana ukoo na miezi michache mbele yule binti akaolewa na mtu mwingine na ndugu yangu akarudi zake kijijini.

Visa ni vingi, nimechoka kuandika ila nitakua navishusha vingine huku nikisaidizana na nyinyi, leteni visa vyenu au mlivyowahi kuvishuhudia
uongo mtupu
 
Back
Top Bottom