Visa vya mapenzi visivyosahaulika

Visa vya mapenzi visivyosahaulika

Nilipewa kesi ya kuvunja na kuiba sababu ya msichana, ilikua mwishoni mwa miaka ya tisini nipo form three kulikua na kidem flan hivi kichaga kinaitwa Rose!

Yule rose alikua anakaa kwa mjomba wake nikamuambia ha akakubali nikawa najisevia! Yule dada alikua home tu japo kua umri wake alitakiwa kua secondary lkn sikuwahi kumuona akiwa kama mwanafunzi.

Kumbe mjomba wake aliishapata taarifa kua kuna msela mita ya kati anamtindua mpwae!! Nilikua natabia moja nikipita Miata ya kwao napiga mruzi flan hivi dem lazima atoke!

Siku hio uncle wake akanistukia dah nilikula kichapo heavy! Huku naam kwa Kwanini unamsumbua mtoto wangu na wewe mwanafunzi. Baada ya kichapo ninatoka nduki. Kesho yake nipo class nashangaa polisi hao Mshkaji akaniambia polisi wamekufata wewe nikatokea dirishani mbio!

Nilihisi ni sababu ya yule dem! Kwenda home nakuja Polisi walifika hadi chumbani kwangu wakapekua eti nimevunja nyumba na nimeiba radio cassette na briefcase duh! Nikitetemeka hatari na mie mambo ya wizi sikua nayo!

Kesho yake ilikua jumamos saa nne nimeamka polisi hao na defender lao dadeki hadi kituoni mara ya kwanza hio naingia rumande! Polisi walipewa pesa ili tu kuniadhibu niachane na yule dem!

Maana nasikia dem alimtukana uncle wake kwa kile kipigo! Dah!! Baada ya kupewa dhamana nikatolewa ile kesi ilienda hadi mahakamani na lile jinga hata lilikua haliji mahakamani hadi mahakama ikaniachia baada ya miezi mitano! Sitasahau hicho kisa zile barehe za kwanza zilizoponza!
 
Nikiwa form iv kuna demu alikuwa mshikaji
Wangu sana ukizingatia tumesoma wote toka primary ,
Basi mida ya SAA moja nikiwa kitaa akajaa ,akaazima simu yangu kuna MTU anataka aongee naye; nikampa fresh

Kumbe alikuwa ghetto kwa mshikaji afu mzee wake kamzingua sana kaambiwa akirudi home anamuua!!

kesho yake school nashangaa naambiwa ndugu zake wanasema nmemtorosha yule demu kwahyo kesi wanapeleka police !siku ilienda hovyo sana

Pona yangu yule demu alikuwa ameenda kwa ndugu yao mwingine
 
Kuna demu nilikuwa napiga, alishakuja kulala kwangu mara kadhaa.

Nilikuwa nikitaka kumtia namtuma bodaboda ninaejuana nae anamfata anamleta geto.
Nimechekà kama boyaaa
 
Kuna demu nilikuwa napiga, alishakuja kulala kwangu mara kadhaa.

Nilikuwa nikitaka kumtia namtuma bodaboda ninaejuana nae anamfata anamleta geto.

Niliuguza bega miezi mitatu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimechekaa sanaa dah sio poaa

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Mwaka huu mwezi wa 5 nilipata safari ya kikazi kwenda Dar.

Ila kabla ya hiyo safari mwezi wa 2 nilishasafiri kutoka Dar kuja Mkoani na kwenye siti nilikaa na mtoto mmoja hivi mzuriii.

Kwenye maongezi aliniambia yeye yupo UDSM anasoma mwaka wa pili bachelor.
Then huku Mkoani ni kwao.
Hivyo tulivyoshuka tukabadilishana namba na kila mtu akala njia yake.

Hivyo huo mwezi wa 5 nilimpa taarifa kuwa nakuja Dar nitashukia guest.

Aliniomba nishukie kwa dada ake ila dada ake na shemeji hawapo wamesafiri.

Mwana nikafika Mbezi nikachukua daladala mpaka kwao.

Nilifika mida ya saa 11 jioni.

Hivyo mpaka Saa 4 nilijihakikishia kweli hakuna mtu zaidi yake.

Basi akapika then tukala na kwenda kulala.

Bwanaa ile alfajiri nipo room ya demu napiga morning glory...
Ghafla mlango wa chumba cha demu unafunguliwa na dada ake demu anatukuta nipo juu ya kiuno cha mdogo ake napiga dog style..!!!

Kumbe dada mtu alikuwa na funguo then alifungua milango na mageti na alivyoingia ndani alienda direct kwenye chumba cha demu.

Sisi kwakuwa tulikuwa tunalizana hata hatukusikia milango ikifunguliwa.

Na bahati mbaya demu hakufunga mlango wa chumba chake na funguo.

Dada mtu kuona vile alirudi haraka, aisee nilivaa fasta na kusepa.

Hata sijui ile nyumba nilitokaje mzima.

Ila ndani ya dakika 2 baada ya kufumaniwa nilikua nje Nina rasket yangu na nishavaa na kukimbia.

Dah ilikuwa nomaa sanaaa

#YNWA
 
Mwaka huu mwezi wa 5 nilipata safari ya kikazi kwenda Dar.

Ila kabla ya hiyo safari mwezi wa 2 nilishasafiri kutoka Dar kuja Mkoani na kwenye siti nilikaa na mtoto mmoja hivi mzuriii.

Kwenye maongezi aliniambia yeye yupo UDSM anasoma mwaka wa pili bachelor.
Then huku Mkoani ni kwao.
Hivyo tulivyoshuka tukabadilishana namba na kila mtu akala njia yake.

Hivyo nilimpa taarifa kuwa nakuja Dar nitashukia guest.

Aliniomba nishukie kwa dada ake ila dada ake na shemeji hawapo wamesafiri.

Mwaka nikafika Mbezi nikachukua daladala mpaka kwao.

Nilifika mida ya saa 11 jioni.

Hivyo mpaka Saa 4 nilijihakikishia kweli hakuna mtu zaidi yake.

Basi akapika then tukala na kwenda kulala.

Bwanaa ile alfajiri nipo room ya demu napiga morning glory...
Ghafla mlango wa chumba cha demu unafunguliwa na dada ake demu anatukuta nipo juu ya kiuno cha mdogo ake napiga dog style..!!!

Kumbe dada mtu alikuwa na funguo then alifungua milango na mageti na alivyoingia ndani alienda direct kwenye chumba cha demu.

Sisi kwakuwa tulikuwa tunalizana hata hatukusikia milango ikifunguliwa.

Na bahati mbaya demu hakufunga mlango na funguo.

[emoji23][emoji23]
 
Ndugu wa binti walivyokuja amna ata mmoja alielala kwa binti? Usiku hawakukuskia unakoroma uko chini ya Uvungu? Enewei wangekudaba bafkr wangemkata Athumani jicho moja
Hii kudaba inanikumbusha kwetu kaliua [emoji1787][emoji1787][emoji1787].naaamini kuna raia hawajakuelewa kabisa na hiki kiswahili
 
Mwaka huu mwezi wa 5 nilipata safari ya kikazi kwenda Dar.

Ila kabla ya hiyo safari mwezi wa 2 nilishasafiri kutoka Dar kuja Mkoani na kwenye siti nilikaa na mtoto mmoja hivi mzuriii.

Kwenye maongezi aliniambia yeye yupo UDSM anasoma mwaka wa pili bachelor.
Then huku Mkoani ni kwao.
Hivyo tulivyoshuka tukabadilishana namba na kila mtu akala njia yake.

Hivyo nilimpa taarifa kuwa nakuja Dar nitashukia guest.

Aliniomba nishukie kwa dada ake ila dada ake na shemeji hawapo wamesafiri.

Mwaka nikafika Mbezi nikachukua daladala mpaka kwao.

Nilifika mida ya saa 11 jioni.

Hivyo mpaka Saa 4 nilijihakikishia kweli hakuna mtu zaidi yake.

Basi akapika then tukala na kwenda kulala.

Bwanaa ile alfajiri nipo room ya demu napiga morning glory...
Ghafla mlango wa chumba cha demu unafunguliwa na dada ake demu anatukuta nipo juu ya kiuno cha mdogo ake napiga dog style..!!!

Kumbe dada mtu alikuwa na funguo then alifungua milango na mageti na alivyoingia ndani alienda direct kwenye chumba cha demu.

Sisi kwakuwa tulikuwa tunalizana hata hatukusikia milango ikifunguliwa.

Na bahati mbaya demu hakufunga mlango na funguo.

Dada mtu kuona vile alirudi haraka, aisee nilivaa fasta na kusepa.

Hata sijui ile nyumba nilitokaje mzima.

Ila ndani ya dakika 2 baada ya kufumaniwa nilikua nje Nina rasket yangu na nishavaa na kukimbia.

Dah ilikuwa nomaa sanaaa

#YNWA
Story yako haijaisha.
 
Back
Top Bottom