Visa vya Wanawake wa Wrong Number

Visa vya Wanawake wa Wrong Number

Salamu wakuu.

Asee leo nina mzuka wa kutoa stori ya wrong number.

Asee katika miaka yangu ya ujana sina kazi ila najishughurisha tu na mitikasi ya mtaani, sasa sku moja nimechil geto nikasema wacha nikosee number mara mbili ilienda kwa machizi na kuwambia wrong number sasa mara ya tatu ikaenda kwa manzi.

Nikamuuliza asee vanessa umepata hiyo hela ya nauli alivyojibu hela gani na nauli ya kwenda wapi basi akawa kaingia kwenye mtego.

Nikamwambia basi samahani nilikuwa namtumia sister alikuwa anaenda kwenye kongamano ya mtoto Yesu.

Akaniambia wewe kaka muongo sana na umekosea namba. Akakata simu nikamtumia 25k palepale.

Dakika tano nyingi akauliza wewe ndio umetuma hii hela 25k nikamjibu ndiyo.

Basi story zikaanza kumbe mtoto anaitwa PENDO yupo mkoani jiji la mbeya...story zilinoga sana na siku ikapita.

Kama wiki hivi likaja jambo la kutumiana picha. MBEYA MBEYA MBEYA 😂😂😂😂 daah alinikata sana yule manzi hakuwa na smartphone ila akatumia akili moja kuniambia nimtue email yangu basi ikawa poa sana.

Kama siku kadhaa akaniambia naenda kukutumia picha mpenzi nikamuliza wapi akajibu internet cafe.

Asee nikaona picha za manzi duuh kweli yule ni pendo staki kuwasema vibaya sisters wa mbeya ila yule kweli alikuwa ni pendo na upendo ukaishia baada ya kuona picha.

Huyu mwingine ni story ndefu sana nina mwaka wa 9 sjawahi kumuona kamaliza Olevel, Alevel, university na sasa kazalishwa..HONGERENI SISTERS WA KICHAGA MARANGU MMENISHIKA AKILI.

wrong number wako ilikuwaje mkuu?
Inavyoonyesha wewe ni Fataki😂.Kutoka Mbeya hadi kurukia Moshi wapi na wapi🤔😂😂
 
Umenikumbusha mbali..
Zamani kitambo wakat namfukuzia mama chanja, nliomba msela wangu anitumie namba yake maana ye ndo alikua karib zaidi kuipata.
Bwana bwaaana, nkatumiwa li namba frenge, sikulaza damu nkaruka hewani.
STori za hapa na pale, kweli jina wanafanana lakini nkaanza kuona mbona hizi pigo za kienyeji? Au nmeuziwa mbuzi kwenye kapeti?
As long as nlikua sina ramani, i had time. So nkawa nabonga na mtoto. Ndo hapo akaniambia yuko mbeya. Alivosema tu hivo, nkajua kabisa sio huyu nliekua namtafta. Lakini nkasema isiwe kesi, inaruhusiwa kuchimba dawa ukiwa safarini.
Nmeyajenga na huyo mams moyoni nkiwa najipa moyo kuwa yale maparachichi wanayokula mbeya huyu mtoto haez kosa ushuhuda pale nyuma.
Lakini all the time dishi likawa halisomi frequency, n kama naongelea kulia yeye anaelewa kushoto.
After a week ya kufahamiana nkajua kazi yake n fundi cherehani anaishi kwa sista ake.
Si haba, nkaomba sasa ushahidi wa kihistoria a.k.a li foto.
Hyo siku nlikua makini sana kuona.
Muvi linaanza nmetumiwa picha kama 4 at once.
Nilichokiona, bwana mtoa uzima anisamehe bure.
Kweli ni digidigi ya kwenda, yaaani nkieleza sana naeza nkakufuru. Sisemi ni mbaya lakin to be honest i wasnt expecting that.
Kunae moja imetumwa na caption kabisa "unaona nnavovaa nguo ndefu na za heshima?"
Ingine amesimama pembeni ya kitanda amevaa zake gauni la jumapili na viatu flan hv nmezoea kuviona village, amegeuka kama hawa mamanz wa mtandani, lakini ushuhuda unautafta kwa tochi.
After that akaja resi kama ngiri alieguswa mkia, maswali mob aina ya "unanionaje"? '"Unaniona nilivo mrembo yada yada yada..
Ikabidi niwe nakubali tu ili nisimvunje moyo mdada wa watu.
Baadae ikabd nimwambie tu nna mke na watoto watatu, na mke wangu ni mfupi ngumi mkononi kwaio anaeza akamtia vifuti vya meno abaki bila kichekeo.
Aliendelea kuhangaika, baadae nkamkataa tu kimya kimya.
Tangu hapo ndo nkagundua hiii jam ya kukosea manamba n rare kukutana na pisi ya moto.
Anisamehe bure popote alipo. Namuombea mema.
 
Style yako ya kuandika ni burudani sana mzee😅😅😅
 
Ukatuma 25,000/= kirahisi kabisa Mzee ,hio pesa nakula kitimoto kilo moja ndizi ,kachumbali Kwa mbali na pilipili na bia tano nikiwa na demu bar natoka naenda kumzagamua usiku huo Huo bure ....
Na wewe umemwamini mkuu ni muongo huyo
 
Umenikumbusha mbali..
Zamani kitambo wakat namfukuzia mama chanja, nliomba msela wangu anitumie namba yake maana ye ndo alikua karib zaidi kuipata.
Bwana bwaaana, nkatumiwa li namba frenge, sikulaza damu nkaruka hewani.
STori za hapa na pale, kweli jina wanafanana lakini nkaanza kuona mbona hizi pigo za kienyeji? Au nmeuziwa mbuzi kwenye kapeti?
As long as nlikua sina ramani, i had time. So nkawa nabonga na mtoto. Ndo hapo akaniambia yuko mbeya. Alivosema tu hivo, nkajua kabisa sio huyu nliekua namtafta. Lakini nkasema isiwe kesi, inaruhusiwa kuchimba dawa ukiwa safarini.
Nmeyajenga na huyo mams moyoni nkiwa najipa moyo kuwa yale maparachichi wanayokula mbeya huyu mtoto haez kosa ushuhuda pale nyuma.
Lakini all the time dishi likawa halisomi frequency, n kama naongelea kulia yeye anaelewa kushoto.
After a week ya kufahamiana nkajua kazi yake n fundi cherehani anaishi kwa sista ake.
Si haba, nkaomba sasa ushahidi wa kihistoria a.k.a li foto.
Hyo siku nlikua makini sana kuona.
Muvi linaanza nmetumiwa picha kama 4 at once.
Nilichokiona, bwana mtoa uzima anisamehe bure.
Kweli ni digidigi ya kwenda, yaaani nkieleza sana naeza nkakufuru. Sisemi ni mbaya lakin to be honest i wasnt expecting that.
Kunae moja imetumwa na caption kabisa "unaona nnavovaa nguo ndefu na za heshima?"
Ingine amesimama pembeni ya kitanda amevaa zake gauni la jumapili na viatu flan hv nmezoea kuviona village, amegeuka kama hawa mamanz wa mtandani, lakini ushuhuda unautafta kwa tochi.
After that akaja resi kama ngiri alieguswa mkia, maswali mob aina ya "unanionaje"? '"Unaniona nilivo mrembo yada yada yada..
Ikabidi niwe nakubali tu ili nisimvunje moyo mdada wa watu.
Baadae ikabd nimwambie tu nna mke na watoto watatu, na mke wangu ni mfupi ngumi mkononi kwaio anaeza akamtia vifuti vya meno abaki bila kichekeo.
Aliendelea kuhangaika, baadae nkamkataa tu kimya kimya.
Tangu hapo ndo nkagundua hiii jam ya kukosea manamba n rare kukutana na pisi ya moto.
Anisamehe bure popote alipo. Namuombea mema.
😹😹😹😹 Ila wanaume, Mungu anakupa wife material we unawataka wa mataifa. Kikikuramba uanze kupiga kelele hapa
 
Back
Top Bottom