Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasalimie Dubai mkuu waambie ... Huko tupo na faru yohanaMkuu hata mimi sijielewi leo twende tu
umeanza na fasihi zako shida yko nini haswa ..ubongo wetu u stuck au ??Majirani zetu nimesikia wanapata shida sana kupata visa ya Dubai kumbe visa kwao ni mtaji duka wana tembea nalo
Ha hahhaaa ...."" inaelekea huko Dubai " kuna soko kubwa la hao wa Dada wa kiganda ""..?Majirani zetu nimesikia wanapata shida sana kupata visa ya Dubai kumbe visa kwao ni mtaji duka wana tembea nalo
Hakuna pasport nzur kama ya bongo,waganda wengi wanadanganya wapatenpasport ya Tz.Majirani zetu nimesikia wanapata shida sana kupata visa ya Dubai kumbe visa kwao ni mtaji duka wana tembea nalo
Hawa jirani zetu Dubai iliwafanya wengi maisha yalibadilika kipindi cha nyuma huko walinunua sana vito vya thamani gold silver etc walikuwa wanatembeza biashara hiyo kama muuza mitumba au vyombo vya ndani au mchicha. Any who..... wengine walikuja kubadilisha biashara na kuwa biashara ya kujiuza.. Wengi iliwalipa lakini baadhi waliobeba mdudu yule wameifanya visa iwe shida kwao sababu ya mdudu yule..Majirani zetu nimesikia wanapata shida sana kupata visa ya Dubai kumbe visa kwao ni mtaji duka wana tembea nalo
Yaan dae eclat vinyuzi zake vifupi sana mi hapo sijaelewa jumla nimeelewa reja rejaumeanza na fasihi zako shida yko nini haswa ..ubongo wetu u stuck au ??
Na yeye Anataka umuelewe hivyo hivyo ...naona mamlaka ya usafiri ya Dubai imeshituka "" wanapelekewa mnoo maambukizi na wa Dada wa kigandaYaan dae eclat vinyuzi zake vifupi sana mi hapo sijaelewa jumla nimeelewa reja reja
Mama Sabrina mbona umekuwa mweusi tena?Yaan dae eclat vinyuzi zake vifupi sana mi hapo sijaelewa jumla nimeelewa reja reja
Vipi unaumwa tumbo?Mkuu hata mimi sijielewi leo twende tu
Asante sana mateHawa jirani zetu Dubai iliwafanya wengi maisha yalibadilika kipindi cha nyuma huko walinunua sana vito vya thamani gold silver etc walikuwa wanatembeza biashara hiyo kama muuza mitumba au vyombo vya ndani au mchicha. Any who..... wengine walikuja kubadilisha biashara na kuwa biashara ya kujiuza.. Wengi iliwalipa lakini baadhi waliobeba mdudu yule wameifanya visa iwe shida kwao sababu ya mdudu yule..
Kuna falsafa ya kale " uchumi mnao,mmeukalia" ama?Mimi nimekuelewa mkuu,ni zaidi ya hatari,wanyimwe tu hamna namna.