Visa ya Thailand Kuna Ubalozi Tanzania?

Visa ya Thailand Kuna Ubalozi Tanzania?

newazz

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2009
Posts
904
Reaction score
907
Wadau, nahitaji viza ya kwenda Thailand kwa ajili ya kikazi.

Nimecheki kwenye mtandao, nimeona ubalozi wapo upo Nairobi.

Je ni kweli hawana ubalozi hapa bongo. Naelewa watanzania wengi husafiri kwenda huko.

Anayejua wapi pa kuchukua viza na utaratibu wao , anisaidie taarifa zaidi. Nawakilisha
 
Ni nairobi tu mkuu,zamani ilikuwa unapata on arrival wauza sembe wakatibua kila kitu,sad.
 
Hata baada ya safari ya waziri wao Tanzania!!!
 
Back
Top Bottom