Wadau, nahitaji viza ya kwenda Thailand kwa ajili ya kikazi.
Nimecheki kwenye mtandao, nimeona ubalozi wapo upo Nairobi.
Je ni kweli hawana ubalozi hapa bongo. Naelewa watanzania wengi husafiri kwenda huko.
Anayejua wapi pa kuchukua viza na utaratibu wao , anisaidie taarifa zaidi. Nawakilisha