Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Da'vinci hao hawaliwi banaJukwaa la matangazo kuna mtu anayauza hayo mapambo mcheki.
But are you sure siku ukichoka kula maharage hutawapitia hao samaki?
Weka picha nichague uoneAquarium unalo?
kuna kisoda, mkasi, makata, tomber chini, gold salasa,shubkin,gulam, gapi, Gold macho,red, black, zebra,semiiz, telescope unataka yupi
Nawapenda mnoDuh!
Mi nilitaka nifuge wa biasharaNawapenda mno
Weka picha nichague uone
Ndio waje wataalamu watuambie mi nataka niwaone kila saa wananifurahisha mnoMi nilitaka nifuge wa biashara
Ndio nataka kuanzaNdo unaanza kufuga?
Haya Sabrina hajamboNdio waje wataalamu watuambie mi nataka niwaone kila saa wananifurahisha mno
Utakua hujaamua tu ngoja nimtag huyo muuzajiDa'vinci hao hawaliwi bana
HajamboHaya Sabrina hajambo
Mtag kama yupo mwanza lakin kuvitoa dar hapanaUtakua hujaamua tu ngoja nimtag huyo muuzaji
Mwanza sifahamu.. itabid ughalamie usafirMtag kama yupo mwanza lakin kuvitoa dar hapana
Hapana vitakufa,,nataka wa hapa hapa mwanza sitaki preshaMwanza sifahamu.. itabid ughalamie usafir
Ndio nataka kuanza
Shukrani nataka wa mwanza tuniko dar sasa