Visamaki vya urembo

Nlvkuta kwa ankyangu nkavpika enz za form 3 dah njaa mbaya sana ..
 
Beauty lies in the eyes of the beholder..... hata sato wazur tu...sema if you insist on goldfish and etc most likely itabd watoke dar
Napensa wa rangi rangi halaf wadogo wadogo sitaki kujua wanaoliwa nataka wa urembo
 
Usivizarau vile ni gharama mama bora ufuge kuku tu kama uko vizur kiuchumi fuga kama wewe ndio mwenzangu na mie achana nao
 
Usivizarau vile ni gharama mama bora ufuge kuku tu kama uko vizur kiuchumi fuga kama wewe ndio mwenzangu na mie achana nao
Navitaka tu moyo wangu unavipenda acha niupe moyo kitu utakachio kila siku mikuku tu kufuga matatizo hayaishigi
 
Kuumbe hu urembo bado upo,,nilionaga zamani sana kwa shngazi yangu Wakati Niko mdg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…