Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Hey wananichit chat napenda sana hivi visamaki vya urembo naomba kujua matunzo yake yanakuwaje ili visife,kuvinunua gharama yake ipi pamoja na chombo cha kuwahifadhia navipenda sana kuna muda nakaa navifikiria kweli ,naomba kueleweshwa ni vya aina vipi vitanipa furaha zaidi machoni mwangu ,nataka vikae vikae cumbani kwangu ili nikiamka tu nivione,na nikikaa sebulen pia nivione pia nahisi kuvipenda kupitiliza
Nawapenda mno hao samaki
Nawapenda mno hao samaki