Travis 1
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 878
- 1,373
Hivi ziwani huwezi kupata wa urembo?Hapana vitakufa,,nataka wa hapa hapa mwanza sitaki presha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ziwani huwezi kupata wa urembo?Hapana vitakufa,,nataka wa hapa hapa mwanza sitaki presha
Kwenda kuwavua siweziHivi ziwani huwezi kupata wa urembo?
Kwn hapo mwanza hujaona watu walionao ukaulizie.Kwenda kuwavua siwezi
Basi nielekeze kuna sehemu niliona havijanifurahishaKwn hapo mwanza hujaona watu walionao ukaulizie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jukwaa la matangazo kuna mtu anayauza hayo mapambo mcheki.
But are you sure siku ukichoka kula maharage hutawapitia hao samaki?
Ni baharini pekee ndipo utapata wazuri kwa mapambo.Kwenda kuwavua siwezi
PoaNi baharini pekee ndipo utapata wazuri kwa mapambo.
Mimi nna sato nkupe uweke kwenye aquarium ...wanafufahisha kuangalia piaBasi nielekeze kuna sehemu niliona havijanifurahisha
Hapanaaa nahitaji wa uremboMimi nna sato nkupe uweke kwenye aquarium ...wanafufahisha kuangalia pia
Beauty lies in the eyes of the beholder..... hata sato wazur tu...sema if you insist on goldfish and etc most likely itabd watoke darHapanaaa nahitaji wa urembo
Napensa wa rangi rangi halaf wadogo wadogo sitaki kujua wanaoliwa nataka wa uremboBeauty lies in the eyes of the beholder..... hata sato wazur tu...sema if you insist on goldfish and etc most likely itabd watoke dar
Simu umemuachia nani?Nlvkuta kwa ankyangu nkavpika enz za form 3 dah njaa mbaya sana ..
Upo wapi na ni sh,ngapiKARIBU SANA TUKUUZIE
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Navitaka tu moyo wangu unavipenda acha niupe moyo kitu utakachio kila siku mikuku tu kufuga matatizo hayaishigiUsivizarau vile ni gharama mama bora ufuge kuku tu kama uko vizur kiuchumi fuga kama wewe ndio mwenzangu na mie achana nao
Upo wapi na ni sh,ngapi
Kabla hujanunua hakikisha unahakika na mahali pa kununulia Chakula chaoNavitaka tu moyo wangu unavipenda acha niupe moyo kitu utakachio kila siku mikuku tu kufuga matatizo hayaishigi