Smartkahn
JF-Expert Member
- Jun 22, 2020
- 594
- 1,061
- Thread starter
- #21
POWER AU NGUVU YA USHAWISHI KATIKA DIPLOMASIA.
Usupa pawa ni uwezo wa ku-manipulate geopolitics za nchi in a wide & deferent demographic location.
Naona sasa na sisi huku kwetu tumefikiwa kisawasawa.
Katika huu ulimwenguni ambako kuna mafahali wawili wasioweza kukaa pamoja, inawezekana utafauti huu (duality) si bahati mbaya bali wanacheza tune za wenye ulimwenguni huko rohoni.
Nyasi ndio huumia wapiganapo hao fahali, na sababu ya kupiga a ni kuwania|kugombea utawala/kupata nguvu ya kutawala kundi nzima la ng'ombe... Naam na ili mmoja wapo afanikiwe ni lazima aonyehe uwezo wake ili kuwashawishi ng'ombe wengine. Ukitekenya ubongo utangundua hii Habari haihusu ng'ombe.
Hao mafahali si wengine bali ni hawa pamoja na washilika wao.
(a)
(b)
In general mataifa mengi ya Africa mostly sub saharan specifically E. Africa hayana au hayajui hatima yao, They still exist in potential form. Na kwakua kiasili yamebalikiwa hivyo yana-potential hiyo ya kupiganiwa na mafahali na tangu mwanzo mnyukano unaendelea in background wakati huku foreground ng'ombe wanaona life is good, wanaoa na kuolewa zizi linaongezeka.
Majira nyakati na dalili zinaonesha mnyukano umekwisha kamaa sasa nani atavuna na kufaidi mazao.
Je nini hatma ya haya mataifa yasiyokua na hatma,
Je itatokea devide and rule kwamba kila fahali ataondoka na pande lake na kuishi kwa kanuni na taratibu zake.
Je itakua bora kama tukibakia na fahali huyu huyu tulienae tangu mwanzo. Na
Vipi kama fahali wetu mkombozi mlezi akinyukwa, utawala wa fahali mpya utakuwaje. CV inaonesha fahali mpya akitawala huwa anaacha neema kubwa.
Pia huyu fahali mpya ni mjanja mwenye mbinu, wapambe wenye upambe mwingi wa kumshinda mpinzani... Ubaya wake ni kwamba akizidiwa mbinu huwa anavuruga kila kitu na kumfanya mpinzani wake aanze na moja kujenga himaya.
Histolia ya hawa mafahali inatuonesha kuwa hawa mafahali ni wanatoshana nguvu, na kote wanakopigana kugombea himaya ya wanang'gombe huwa hapatikani mshindi hivyo mwisho wa siku wanaishia kugawana himaya.
Na kwa kua huyu fahali mpya anambinu nyingi, wapambe wenye upambe na ni mjanja huwa anahakikisha himaya ya mpinzani wake haistawi bali yake tu ndio inanawili.
Tazama historia ya kule Asia ya mbali kuna S. Korea, N. Korea na mataifa mengine na namna mtifuano wa mafahali ulivyoleta hatma ya mataifa hayo.
Pia mashariki ya kati kuna Israel tazama hatma ya mataifa iliyozungukwa nayo Kutokana na itikadi waliochagua.
Kuna Ukraine pale Ulaya
Nasasa kuna mmoja wetu hapa Afrika mashariki anazidi kuimalishwa mdogo mdogo mpaka atakapo kuja kua hashikiki, kama alivyo Israel.
Unaambiwa "ukimuona kuku kwa mganga, jua rangi yake imemponza”.
Na mti wenye matunda ndio kupigwa mawe ila kwakua waanguaji wa matunda ni ma-ultra legends wanadeal na Shina kwanza.
Sasa basi kwakua E. Africa himaya zake zinamalisho ya kutosha hivyo mafahali wanakiwasha kila muda kila mmoja akijitahidi ku-secure himaya.
Kuna himaya moja kutokana na sifa zake Imekua kama kuku aliejikuta katika 18 za mganga kwani ina rangi na vigezo vyote ambavyo mganga anataka ili kumaliza kazi.
Kwakua himaya yenyewe inang'ombe wenye uzoefu kiasi chake na mapambano ya kifahali hivyo mafahali wana shughulika naye kifahali zaidi, na aliunganishwa na wengine kwenye ile multipurpose operation.
Wakati huo himaya nyingine zinashughulikiwa ki-ndamandama.
Je huyu kuku aliejikuta kwenye 18 za Mgaga ni nani...?!?