Visent Kigosi (Ray) Nyota yake ilikuwa inazunguka kwa Mgongo wa Kanumba. Kifo cha Kanumba kimeleta shida sana kwake

Leo umeongea point moja kubwa sana.
 
Ray alikuwa kondoo tu kwa Kanumba. Hata angetangulia yeye bado haters wa kanumba wangetafuta mbadala wake.
 
Wewe ni juha tena juha mkubwa tu.
Alikiba kaanza kuwa star zamani sana wakati wewe upo kwenu chitohori na diamond anauza mitumba tandale huko.Kwa sisi ambao tumekulia mjini na tumeanza kusikiliza mziki kitambo hatuwezi kusema kauli za kiwaki kama hizo.
Wakati alikiba anafanya kazi na wasanii wakubwa wa Afrika na star R Kelly vipi alikuwa sio maarufu.
Ficha ujinga wako
 
Habari za Asubuhi Ndugu na jamaa zangu wa jf.Matumaini yangu wote Ni wazima wa afya,poleni na ugumu wa maisha Katika kipindi kigumu cha JPM.Lakini kwa upande wangu naiona Tanzania mpya inakuja.

Tuache hayo nije kwenye dhumuni la andiko hili........
Ilikuwa ni mwaka 2014 nilipoanza kazi Katika mkoa Fulani hapa Tanzania.Nilifurahi Mara baada ya kusikia nimepata kazi na kushukuru sana kwani nimetoka katika mikono ya wazazi.Age yangu ni miaka 27 kwa sasa.

Mara baada ya kuripoti katika kituo cha kazi na kupangiwa majukumu yangu,nashukuru karibu na eneo la kazi kulikuwa na kota/nyumba za wafanya kazi kwa hiyo kidume nikapatiwa apartment yangu.Ikumbukwe nimetoka dar es salaam hivyo full swagger yaani katupia mapamba ya kinyamwezi. Basi mademu wakawa wanashoboka kinoma ,mimi sikulemba niliwagonga vizuri sana.

Kuna mama ni mfanyakazi mwenzangu ambaye tunaishi jirani kusema kweli nilimuheshimu sana kama mama yangu mzazi. Huyu mama alikuwa anapenda sana niwe naenda nyumbani kwake kupiga story,Kumbe alikuwa na mtoto wake ambaye alikuwa anasoma kidato cha 6 Arusha.Kuna wakati alipolejea nyumbani kipindi cha likizo basi akaanzisha mazoea na mimi. Bila kuchelewa nikatia vocals mtoto akaelewa nikawa nakula mzigo kama kawaida yangu.

Mi nilikuwa nazuga tu kwake kumbe mtoto alikolea kwa penzi la mnyamwezi,usiku alikuwa anatoroka anakuja geto napiga mzigo kama kawa.Nilidumu nae karibu miezi 6 hivi nikaanza kumtema/kumuacha taratibu bila mwenyewe kujuwa.Alipogundua akawa anatukana kila siku akifika home kwangu.Kumbe mama ake alikuwa anajuwa kila kitu kuhusu mahusiano yetu,akaanza kupeleka habari hizi kwa mwajiri/mkurugenzi wetu kazini. Sasa ameahidi atanifanyia kila hila hadi nifukuzwe kazi.
Mimi sipo tayari kukosa kazi wanandugu naomba msaada wenu nifanyeje ili nifanye kazi yangu kwa amani, naomba mnisamehe kwa maelezo marefu....
 
Numbisa wewe ni ME??
 
KE

huo ni uzi wa huyo born town shabiki wa kiba na r kelly

Numbisa wewe ni ME??
 
Mimi nilichoka muigizaji yeye,mtunzi wa stori yeye,mpanga crip yeye,vyeo vyote yeye.tatizo kusupply ikawa ni ngumu na wadosi walivyoona watu wanaburn cd kila leo wakaona biashara hakuna.
Ni sawa na alikiba katoa album halafu hajapiga promo apate kazi za majukwaani.akitegemea album kuuza kumbe wenye kutumia kwa flash wanamuharibia.
Any way ubunifu muhimu lakini kwa waigizaji labda wapate matangazo kama ya maji alivyokuwa anayanyemelea.
 
Ray ana mke?!!si anaishi na chuchu
 
Wale waigizaji wa Nollywood wengi wana shahada na uigizaji kwao ni vipaji. Hapa kwetu Bongo Movie ni mlango wa kutokea huna cheti chochote.

Nollywood na bongo movie hakuna tofauti wote wale wale tu.
 
Ujue watanzania wa siku hizi sio kama wa zamani..watanzania siku hizi wameshachoka kufokewa bila sababu za msingi..style yake ya kufokafoka wakati anaigiza ndio imemuharibia
[emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…