Visenti kidogo nimebadilisha mafuta

Visenti kidogo nimebadilisha mafuta

Unataka kuwa winga😅😅

Karibu
😂 ikikubali tunaishi nayo mazima. Si unajua beauty products ni result oriented. Mtu kama hapati matokeo chanya anai ditch. Though kuwapanga about the product inawezekana kabisa.
 
Yaah huku ukiwa na products zina positive feedback network inajitengeneza automatically
Japo mwanzo mgumu lakini jina likivuma ni mserereko (changamoto haziepukiki)
 
Biashara zote ndio ziko hivyo, kutengeneza base ya wateja ndio ishu ila ukishakuwa na customer base ya kueleweka product wakaielewa una make bingo tu. Nicheki DM unipe qoutation ya jumla tuone
 
Nimeomba kushika kalio nione ulaini wake.
Sijaomba kuzini na mtu katu.
Mm ninaye mkubwa mwenzangu ninyi vijana siwawezi nisije kufia kwenye kifua cha binti nikachukua headlines..))
Nani kakwambia kuzini ni kulalana tu, hata ukitamani ushazini
 
Unayetaka kuniona muonekano wangu karibu dukani
 
Mimi ni team wix....
Mwaka wa wa pili sasa....
Hatariiii ngozi imeglow balaa...
Natumia kuanzia sabuni mpaka sunscreen ngozi full kuteleza....
Nikifanya scrub ndo balaa full kuteleza kunukia utamu...
Katika bidha zote yanayonikosha ni hayo mafuta ya maji yananukia utamu balaa...
Yaani harufu fulani hivi ya kinyamwezi...
Hii picha nilimtumia leo bint mmoja nasoma nae maana alitaka kujua napaka nini...
Haichubui?
 
Mawazo yako tu

Wananunua wadada hata hawana kazi
Wanahudumiwa.

Wamama wa nyumbani wateja wangu wazuri tu

Hao wa mabank wanataka mpaka wanunue kwenye malls ndo wanaamini ni original
Unapatikana wapi? Ngozi yangu ni kavu sana. Kuna mtu akanishauri nitumie vasseline ile ya maji nzito flani hivi. Aisee usoni ilizidi kinikausha nikaiacha. Nlivorudi kumpa feedback muuzaji huwezi amini aliniambia kama ile imenikataa haoni mafuta mengine atakayonipa. So niliondoka sijanunua mafuta pale. Napaka zangu mgando plus babyjohnson ile ya maji.
 
Dry skin mna product nyingi mno

So far Originals wana oil, body butter na body lotion Kama ni extra dry tumia body butter yao ukishapaka unaifunika na oil

Kuna oil inaitwa PortiaM ukiipata hiyo dry skin itanyoosha mikono

Ila kiboko ya dry skin ni Butter + oil utumie vyote viwili Kama hauna tatizo la kiafya utakaa vizuri
 
Shukrani dear, hizo product ni maduka yoyote kariakoo naweza pata? Kuna hiyo lotion inaitwa originals sijui ndo iyo unaiongelea niliwai inunua harufu yake ilinishinda jamani mpaka nikawa nahisi labda yamexpire.
 
Unapatikana wapi? Ngozi yangu ni kavu sana. Kuna mtu akanishauri nitumie vasseline ile ya maji nzito flani hivi. Aisee usoni ilizidi kinikausha nikaiacha. Nlivorudi kumpa feedback muuzaji huwezi amini aliniambia kama ile imenikataa haoni mafuta mengine atakayonipa. So niliondoka sijanunua mafuta pale. Napaka zangu mgando plus babyjohnson ile ya maji.
Usitumie mafuta bila kupata ushauri kwa wataalamu wa ngozi juu ya ngozi yako

Kama una ngozi kavu tumia Shea &Cocoa butter oil gel

Karibu kwa ushauri 0658788582
 
Shukrani dear, hizo product ni maduka yoyote kariakoo naweza pata? Kuna hiyo lotion inaitwa originals sijui ndo iyo unaiongelea niliwai inunua harufu yake ilinishinda jamani mpaka nikawa nahisi labda yamexpire.
Originals siyo kali ina harufu kidogo Kama shea butter

Unapata baadhi ya maduka
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa hapo juu,

Baada ya kupata visenti kidogo nimeona nibadili mafuta ya kupaka.

Na hii ni baada ya kuona mwenzangu aliyezeeka uso kawa kijana ghafla.pia ngozi imekuwa kama mtoto.

Nikamuuliza unapaka nini akasema OLAY CREAM toka UK inauzwa Lavish Glow wapo Mbezi Salasala akanipa namba, ndio mafuta mazuri, yapo ya mchana na usiku bei akanitonya, basi mtoto mkali mimi nikaona nijilipue.

Akaniambia ni mafuta ya ngozi za kawaida yani normal skin, bei elfu 50.

Nikaanza kupaka mtoto mie, jamani nimekuwa mlaini hatareeee...

Nikaona nisiwe mchoyo niwaambie na nyie.
Uso mpya miguu ya zamani.
 
Back
Top Bottom