Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Nimeomba kushika kalio nione ulaini wake.Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa
Krash wangu wa kwanza kabisa mkuuKwahio mna enzi na mtoto mlaini😂😂😂
Crush kupitia avatar 😂😂😂Krash wangu wa kwanza kabisa mkuu
Halisi kabisa mkuu....majina yamefananaCrush kupitia avatar 😂😂😂
Unataka kuwa winga😅😅Ingekuwa around 40K labda ningepambana ila its about a 100K sijui labda natakiwa nitafute market kwanza then ndio nije kuchukua.
😂 ikikubali tunaishi nayo mazima. Si unajua beauty products ni result oriented. Mtu kama hapati matokeo chanya anai ditch. Though kuwapanga about the product inawezekana kabisa.Unataka kuwa winga😅😅
Karibu
Yaah huku ukiwa na products zina positive feedback network inajitengeneza automatically😂 ikikubali tunaishi nayo mazima. Si unajua beauty products ni result oriented. Mtu kama hapati matokeo chanya anai ditch. Though kuwapanga about the product inawezekana kabisa.
Biashara zote ndio ziko hivyo, kutengeneza base ya wateja ndio ishu ila ukishakuwa na customer base ya kueleweka product wakaielewa una make bingo tu. Nicheki DM unipe qoutation ya jumla tuoneYaah huku ukiwa na products zina positive feedback network inajitengeneza automatically
Japo mwanzo mgumu lakini jina likivuma ni mserereko (changamoto haziepukiki)
Nani kakwambia kuzini ni kulalana tu, hata ukitamani ushaziniNimeomba kushika kalio nione ulaini wake.
Sijaomba kuzini na mtu katu.
Mm ninaye mkubwa mwenzangu ninyi vijana siwawezi nisije kufia kwenye kifua cha binti nikachukua headlines..))
Umejuaje nikishika tako laini nitatamani acha kuniwazia ubaya.??Nani kakwambia kuzini ni kulalana tu, hata ukitamani ushazini
Haichubui?Mimi ni team wix....
Mwaka wa wa pili sasa....
Hatariiii ngozi imeglow balaa...
Natumia kuanzia sabuni mpaka sunscreen ngozi full kuteleza....
Nikifanya scrub ndo balaa full kuteleza kunukia utamu...
Katika bidha zote yanayonikosha ni hayo mafuta ya maji yananukia utamu balaa...
Yaani harufu fulani hivi ya kinyamwezi...
Hii picha nilimtumia leo bint mmoja nasoma nae maana alitaka kujua napaka nini...
Unapatikana wapi? Ngozi yangu ni kavu sana. Kuna mtu akanishauri nitumie vasseline ile ya maji nzito flani hivi. Aisee usoni ilizidi kinikausha nikaiacha. Nlivorudi kumpa feedback muuzaji huwezi amini aliniambia kama ile imenikataa haoni mafuta mengine atakayonipa. So niliondoka sijanunua mafuta pale. Napaka zangu mgando plus babyjohnson ile ya maji.Mawazo yako tu
Wananunua wadada hata hawana kazi
Wanahudumiwa.
Wamama wa nyumbani wateja wangu wazuri tu
Hao wa mabank wanataka mpaka wanunue kwenye malls ndo wanaamini ni original
Dry skin mna product nyingi mnoUnapatikana wapi? Ngozi yangu ni kavu sana. Kuna mtu akanishauri nitumie vasseline ile ya maji nzito flani hivi. Aisee usoni ilizidi kinikausha nikaiacha. Nlivorudi kumpa feedback muuzaji huwezi amini aliniambia kama ile imenikataa haoni mafuta mengine atakayonipa. So niliondoka sijanunua mafuta pale. Napaka zangu mgando plus babyjohnson ile ya maji.
Shukrani dear, hizo product ni maduka yoyote kariakoo naweza pata? Kuna hiyo lotion inaitwa originals sijui ndo iyo unaiongelea niliwai inunua harufu yake ilinishinda jamani mpaka nikawa nahisi labda yamexpire.Dry skin mna product nyingi mno
So far Originals wana oil, body butter na body lotion Kama ni extra dry tumia body butter yao ukishapaka unaifunika na oil
Kuna oil inaitwa PortiaM ukiipata hiyo dry skin itanyoosha mikono
Ila kiboko ya dry skin ni Butter + oil utumie vyote viwili Kama hauna tatizo la kiafya utakaa vizuri
Usitumie mafuta bila kupata ushauri kwa wataalamu wa ngozi juu ya ngozi yakoUnapatikana wapi? Ngozi yangu ni kavu sana. Kuna mtu akanishauri nitumie vasseline ile ya maji nzito flani hivi. Aisee usoni ilizidi kinikausha nikaiacha. Nlivorudi kumpa feedback muuzaji huwezi amini aliniambia kama ile imenikataa haoni mafuta mengine atakayonipa. So niliondoka sijanunua mafuta pale. Napaka zangu mgando plus babyjohnson ile ya maji.
Originals siyo kali ina harufu kidogo Kama shea butterShukrani dear, hizo product ni maduka yoyote kariakoo naweza pata? Kuna hiyo lotion inaitwa originals sijui ndo iyo unaiongelea niliwai inunua harufu yake ilinishinda jamani mpaka nikawa nahisi labda yamexpire.
Asanteni ntawapa mrejesho.Usitumie mafuta bila kupata ushauri kwa wataalamu wa ngozi juu ya ngozi yako
Kama una ngozi kavu tumia Shea &Cocoa butter oil gel
Karibu kwa ushauri 0658788582
Uso mpya miguu ya zamani.Habari wakuu,
Husika na kichwa hapo juu,
Baada ya kupata visenti kidogo nimeona nibadili mafuta ya kupaka.
Na hii ni baada ya kuona mwenzangu aliyezeeka uso kawa kijana ghafla.pia ngozi imekuwa kama mtoto.
Nikamuuliza unapaka nini akasema OLAY CREAM toka UK inauzwa Lavish Glow wapo Mbezi Salasala akanipa namba, ndio mafuta mazuri, yapo ya mchana na usiku bei akanitonya, basi mtoto mkali mimi nikaona nijilipue.
Akaniambia ni mafuta ya ngozi za kawaida yani normal skin, bei elfu 50.
Nikaanza kupaka mtoto mie, jamani nimekuwa mlaini hatareeee...
Nikaona nisiwe mchoyo niwaambie na nyie.
Azini na nani sasa?Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa