Tanzanite klm
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 478
- 408
Tumia kunawia mkojo wako kwenye hayo mashilingi, paka huo mkojo Kaa dakika 5 kisha ogea detto baada paka SKI DERM tubeNina sehemu mbili hazina nywele kichwani, vipo kama vishilingi nimetumia dawa zote hazioti. vina miezi saba sasa.
msaada tafadhali.
haviwash wala vipele havina ila vinakula nywele
AiseeTumia kunawia mkojo wako kwenye hayo mashilingi, paka huo mkojo Kaa dakika 5 kisha ogea detto baada paka SKI DERM tube
Jaribu majani ya nyanya Mkuu sugua pale penye vishilingi vitapoteaNina sehemu mbili hazina nywele kichwani, vipo kama vishilingi nimetumia dawa zote hazioti. vina miezi saba sasa.
msaada tafadhali.
haviwash wala vipele havina ila vinakula nywele
DuuTumia kunawia mkojo wako kwenye hayo mashilingi, paka huo mkojo Kaa dakika 5 kisha ogea detto baada paka SKI DERM tube
Nunua mafuta ya mgando Blue magic au Dax changanya na mafuta ya mnyonyo(Castro oil). Ndani ya miezi miwili utaona tofauti au ushapoa hilo tatizo.Nina sehemu mbili hazina nywele kichwani, vipo kama vishilingi nimetumia dawa zote hazioti. vina miezi saba sasa.
msaada tafadhali.
haviwash wala vipele havina ila vinakula nywele