Simchezo JF-Expert Member Joined Apr 10, 2012 Posts 460 Reaction score 373 Apr 13, 2012 #1 Hi wana JF, nina shida nikikaa kwa muda kidogo nikianza kutembea napata maumivu sehemu ya visigino, tatizo hili limeanza like 3 months ago, hii inaweza ikwa imesababishwa na nini? na nini tiba yake?. Thx.
Hi wana JF, nina shida nikikaa kwa muda kidogo nikianza kutembea napata maumivu sehemu ya visigino, tatizo hili limeanza like 3 months ago, hii inaweza ikwa imesababishwa na nini? na nini tiba yake?. Thx.