Visigino kuuma

Visigino kuuma

Simchezo

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
460
Reaction score
373
Hi wana JF, nina shida nikikaa kwa muda kidogo nikianza kutembea napata maumivu sehemu ya visigino, tatizo hili limeanza like 3 months ago, hii inaweza ikwa imesababishwa na nini? na nini tiba yake?. Thx.
 
Back
Top Bottom