Burton Mwakatumbula
Member
- Jul 27, 2012
- 54
- 8
mkuu mita moja laki 8!
-tunachimba visima virefu kwa kutumia machine maalum ya kisasa kwa uhakika na kwa bei nafuu.
-tunachimba na kukabidhi kisima ndani ya siku moja. tutakufuata popote ulipo [dar].
mobile no: 0712 452319 or 0767452319
Nje ya Dar mnachimba sh ngapi?
Bei zako zipo juu sana!! Kisima hakizidi mil3 kwenye ardhi ya kawaida tu!!! Wengi wanachimba mita kwa elfu 20.[/QUOTE
Huenda kweli wapo wanaochimba kisima kwa bei hiyo lakini jambo la msingi unalopaswa kufahamu ni kwamba sisi tunavyofanya bei hiyo ni kwamba tumejumuisha mambo mengi katika hiyo bei ikiwemo; gharama za usafiri kutoka ofisini hadi nyumbani kwa muhusika, pump, n.k ambavyo hivyo vyote ni juu yetu kwa maana ya kwamba vyote vinajumuishwa katika bei ya uchimbaji wa kisima kwa kuzigatia mita za urefu wake, tofauti na wengine ambapo kuna baadhi ya vitu unatakiwa uvigharamie wewe mwenyewe mbali na bei ya uchimbaji kisima. Pia unatakiwa uzingatie suala zima la uhakika wa uchimbaji[yaani kiwango cha utaalamu katika uchimbaji pamoja na muda unaotumika kuchimba kisima ambapo sisi htunachimba na kukabidhi kisima ndani ya siku moja tu. Kwa hiyo bwana King Kong kuna mambo mengi unatakiwa kuyazingatia bila kujali urahisi wa bei tu.
Ni kweli ninyi mko ghali sana! Kuna vijana wapo hapo idara ya maji ya Manispaa ya Ilala wanachimba kwa kama Mil.4.3 hivi, baada ya kuwa wameshayapata maji kwa kuyatafuta na Terrameter kwa kama Sh.200,000/=; ninyi ni very expensive bana. Vifaa wanavyotumia aidha wana kodisha toka Chuo cha Maji pale Mlimani au Wizara ya Maji. No review your prices, hii ni dunia ya ushindani bana.