Bei zako zipo juu sana!! Kisima hakizidi mil3 kwenye ardhi ya kawaida tu!!! Wengi wanachimba mita kwa elfu 20.[/QUOTE
Huenda kweli wapo wanaochimba kisima kwa bei hiyo lakini jambo la msingi unalopaswa kufahamu ni kwamba sisi tunavyofanya bei hiyo ni kwamba tumejumuisha mambo mengi katika hiyo bei ikiwemo; gharama za usafiri kutoka ofisini hadi nyumbani kwa muhusika, pump, n.k ambavyo hivyo vyote ni juu yetu kwa maana ya kwamba vyote vinajumuishwa katika bei ya uchimbaji wa kisima kwa kuzigatia mita za urefu wake, tofauti na wengine ambapo kuna baadhi ya vitu unatakiwa uvigharamie wewe mwenyewe mbali na bei ya uchimbaji kisima. Pia unatakiwa uzingatie suala zima la uhakika wa uchimbaji[yaani kiwango cha utaalamu katika uchimbaji pamoja na muda unaotumika kuchimba kisima ambapo sisi htunachimba na kukabidhi kisima ndani ya siku moja tu. Kwa hiyo bwana King Kong kuna mambo mengi unatakiwa kuyazingatia bila kujali urahisi wa bei tu.