Visima vya mafuta vya Lake Oil, Kigamboni vinateketea kwa moto

small mind

Senior Member
Joined
Jun 1, 2012
Posts
129
Reaction score
58
Your browser is not able to display this video.

Habari nilizopata hivi punde ni kwamba

Tukio hili linatokea sasa hivi sa tatu na nusu usiku.

Moto mkubwa unawaka katika visima vya Mafuta vya Lake Oil Kigamboni.

Kwa walioko karibu tafadhali tupeane updates kuhusu usalama na yanayoendelea kwa sasa

Wakazi wa Kigamboni,Kisiwani,Vijibweni na maeneo Jirani chukueni Hadhari
 

Attachments

  • VID-20200108-WA0065.mp4
    2 MB
Hakuna kisima cha mafuta Kigamboni na lake oil hawajawahi kuwa na kisima cha mafuta Tanzania hii, labda useme matenki ya mafuta ya lake oil.

Hizi shule za kusomea ujinga ni majanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…