Visima vya mafuta vya Lake Oil, Kigamboni vinateketea kwa moto

Visima vya mafuta vya Lake Oil, Kigamboni vinateketea kwa moto

IMG_4724.JPG
IMG_4723.JPG
IMG_4725.JPG
IMG_4725.JPG



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh, Mungu asaidie maana ishu ya wese si ya kitoto.
 
Taarifa Kwa Kikosi Kazi Cha Zima Moto Dar es salaam
Na Makampuni Ya Uokozi
 
Duh, Mungu asaidie maana ishu ya wese si ya kitoto.
 
Mungu asaidie jamani, ni hatari kwa wakazi wa karibu na hiyo Yard.
 
Halafu utakuta kuna watu wanasogea ili wachote


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Haya makampuni yanayojishughulisha na bidhaa zenye asili ya milipuko wanatakiwa kuchukua taadhari bila hata kutegemea msaada wowote, GAPCO na TCC mfano wa kuigwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom