Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Gari kua na tinted ni jambo la msingi sana. Inaongeza privacy na usalama, inapunguza joto (heat na UV rays) na kuongeza "muonekano" mzuri.
Sasa hawa wawekaji wa Instagram wanatuwekea sawa tint ila quality mbovu sana na ndio maana nyingi baada ya miaka 2 zinabadirika rangi kama sio kubanduka kabisa.
Kulikua na hawa jamaa wanajiota Vision X Tint Studio kule Mikocheni B, aisee walikua kazi wanaiweza.
Kwanza kwa Tanzania ndio walikua Authorized Dealer wa 3M Tint, sijui kama kuna mwingine ila nilikua nawajua wao. Kazi yao ilikua high quality, na una options nyingi za kuchagua aina kuanzia ceramic, carbon, crystalline, metalic nk.
Ulikua ukifika kuna gari tatu wamezipack moja ina tint yao, moja haina na nyingine ina tint za bei ndogo zote zipo kwenye jua. Unaingia moja moja uone tofauti ya cabin temp aisee tofauti ilikua kubwa sana.
Sema naona wamefunga business maybe ushindani maana kuweka mbele tu kioo ilikua kuanzia 450k hadi 900k kutegemea na aina ya tint. Sasa gari zima iyo story nyingine.
Sijui kwa sasa nani anaweka tint ambayo itasaidia kupunguza joto.
All in all tint unyama sana.