#COVID19 Visions & Trends Readings: Unaweza Usiamini Hili, "Namuona Baba Askofu Mpinga Chanjo, Ukichanjwa Chanjo ya Corona!"

Wanabodi

Hili ni bandiko la Visions na Trends Readings, Visions za Trends Reading sio utabiri, ni maono ya mielekeo. Ni tofauti na maono ya utabiri.

Kwenye visions za trends readings zangu, zinanionyesha "Mbunge Wangu wa Kawe, Baba Askofu, Mheshimiwa sana, Dr. Josephat Gwajima" akichanjwa chanjo ya Corona!.

Baba Askofu Gwajima, licha ya kupinga chanjo ya Corona kwa mahubiri ya zaidi saa nzima., Trends Readings zangu, zinanionyesha, Baba Askofu Dr. Josephat Gwajima akichanjwa chanjo ya Corona!, na siku hiyo, atakapo chanjwa, atazungumza na ukimsikiliza atakakacho sema, unaweza usiamini kama mtu huyo anayezungumza siku hiyo, na aliyechanjwa, ndio, mtu yule yule aliyeongea maneno haya mimbarini kwake siku za nyuma!.

Trends na Visions ni Nini?
Hili ni bandiko la kitu kinachoitwa trends na visions. Trends ni kusoma mielekeo, na visions ni kuona mambo yajayo ya mbali, yatakayo tokeo kutokana na trends unanaziona sasa. Hivyo trends za Baba Akofu Gwajima anazokwenda nazo sasa za kupinga chanjo ya Corona, sii lolote, sii chochote, kwa sisi waona mbali, tuliojaaliwa kupata visions za yajayo, tunaona kabisa mambo mazuri huko tuendako, ikiwemo, licha ya Baba Askofu kupinga sana chanjo, trends na visions zinanionyesha Baba Askofu akipokea Chanjo ya Corona kwa kuchanjwa!.

Kutafsiri Trends & Visions, ni Psychoanalysis. Jee Hii Psychoanalysis ni Nini, na ya Kazi Gani?
Kuna msemo usemao, information is power, yaani ukiwa na taarifa sahihi, unakuwa na nguvu, hivyo hii psychoanalysis ni somo la kujifunza kwa nini watu wana behave kwa namna fulani kwenye situations fulani. Hivyo ukijua tabia za watu, kwa nini they behave the way they behave, wewe unakuwa na power ya kuwafahamu na sometimes bila wenyewe kujifahamu, hivyo kwa kuandika humu kuhusu their human behaviors, hii inaweza kuwasaidia watu hawa kujielewa na kubadilika, and changing for the better kwa kupunguza maneno na kuongeza vitendo. Waalimu wakuu wa hili somo la psychoanalysis, ni wawili, Carl Jung na Sigmund Freud.
Nimeifundisha sana Psychoanalysis, humu
Pascal Mayalla said:

Hivyo ili kuwathibitishia Baba Askofu atapokea Chanjo ya Corona, Tembelea uzi huu, umsikilize kwa makini Baba Askofu, alisema nini hapa,
Baadaye aligeuka.

Hata siku alipozungumza haya kumhusu Muadhama Polycarp, Carninali Pengo, , baadaye alifuta kauli na alimtembelea na kuomba msamaha.

Alipomzungumzia Bashite, , pia baadaye alifuta kauli na wakapatana.

Hivyo hata kauli yake hii ya sasa ya kupinga chanjo ya Corona, ni kauli tuu, isiwatatize, Baba Askofu, atafuta kauli na atachanjwa Corona.

Kwa wale wageni na mabandiko ya Trends zangu, mnaweza kusisoma baadhi ya trends na zilikuja kutokea hivyo hivyo...

Trends na Visions, Zina Uzuri na Ubaya, Uzuri wa Trends ni zinapotokea kweli kama ulivyosema, ubaya wa trends, ni zisipotokea, utaonekana muongo, hivyo hata mimi, sio trends zangu zote hutokea, kuna nyingine hazitokei, hivyo kuonekana muongo,
Hizi ni baadhi ya trends ambazo hazikutokea,

Paskali
Yale ndio mawazo ya viongozi wetu wa chama chako cha CCM. UWEZO WA KUFIKIRI WA VIONGOZI WA CCM UMESHUKA TU MINUS LEVEL.
 
Mkuu nakubaliana na wewe.
lakini napata shaka kidogo kwa sababu hii ishu watu wengi wanaihusisha na mambo ya imani ambayo huwa ni ngumu kubadirika.
Naamini baba askofu anamsukumo wa kiimani tofauti na matukio mengine ya nyuma ambayo mengi yalikuwa na msukumo wa kisiasa.
 
Graphene Oxide? Hivi huwa mnapotosha kwa faida ya nani?? Kma ni kuwaua hapo ulipo 90% ya vitu kuanzia huo mtumba uliovaa mpka simu unayotumia imetoka kwa beberu eti asikumalize kutumia hivyo mpaka akupe chanjo???

Tuache inferiority complex.... Kwani kuna nchi imekataza usitengeneze chanjo zako?? Eti Graphene Oxide!!
Wewe kama haujui jielimishe, kama unaamini wazungu nenda kachanje, haujakatazwa...wahi kabla hazijaisha.
 
Wanabodi

Hili ni bandiko la Visions na Trends Readings, Visions za Trends Reading sio utabiri, ni maono ya mielekeo. Ni tofauti na maono ya utabiri.

Kwenye visions za trends readings zangu, zinanionyesha "Mbunge Wangu wa Kawe, Baba Askofu, Mheshimiwa sana, Dr. Josephat Gwajima" akichanjwa chanjo ya Corona!.

Baba Askofu Gwajima, licha ya kupinga chanjo ya Corona kwa mahubiri ya zaidi saa nzima., Trends Readings zangu, zinanionyesha, Baba Askofu Dr. Josephat Gwajima akichanjwa chanjo ya Corona!, na siku hiyo, atakapo chanjwa, atazungumza na ukimsikiliza atakakacho sema, unaweza usiamini kama mtu huyo anayezungumza siku hiyo, na aliyechanjwa, ndio, mtu yule yule aliyeongea maneno haya mimbarini kwake siku za nyuma!.

Trends na Visions ni Nini?
Hili ni bandiko la kitu kinachoitwa trends na visions. Trends ni kusoma mielekeo, na visions ni kuona mambo yajayo ya mbali, yatakayo tokeo kutokana na trends unanaziona sasa. Hivyo trends za Baba Akofu Gwajima anazokwenda nazo sasa za kupinga chanjo ya Corona, sii lolote, sii chochote, kwa sisi waona mbali, tuliojaaliwa kupata visions za yajayo, tunaona kabisa mambo mazuri huko tuendako, ikiwemo, licha ya Baba Askofu kupinga sana chanjo, trends na visions zinanionyesha Baba Askofu akipokea Chanjo ya Corona kwa kuchanjwa!.

Kutafsiri Trends & Visions, ni Psychoanalysis. Jee Hii Psychoanalysis ni Nini, na ya Kazi Gani?
Kuna msemo usemao, information is power, yaani ukiwa na taarifa sahihi, unakuwa na nguvu, hivyo hii psychoanalysis ni somo la kujifunza kwa nini watu wana behave kwa namna fulani kwenye situations fulani. Hivyo ukijua tabia za watu, kwa nini they behave the way they behave, wewe unakuwa na power ya kuwafahamu na sometimes bila wenyewe kujifahamu, hivyo kwa kuandika humu kuhusu their human behaviors, hii inaweza kuwasaidia watu hawa kujielewa na kubadilika, and changing for the better kwa kupunguza maneno na kuongeza vitendo. Waalimu wakuu wa hili somo la psychoanalysis, ni wawili, Carl Jung na Sigmund Freud.
Nimeifundisha sana Psychoanalysis, humu
Pascal Mayalla said:

Hivyo ili kuwathibitishia Baba Askofu atapokea Chanjo ya Corona, Tembelea uzi huu, umsikilize kwa makini Baba Askofu, alisema nini hapa,
Baadaye aligeuka.

Hata siku alipozungumza haya kumhusu Muadhama Polycarp, Carninali Pengo, , baadaye alifuta kauli na alimtembelea na kuomba msamaha.

Alipomzungumzia Bashite, , pia baadaye alifuta kauli na wakapatana.

Hivyo hata kauli yake hii ya sasa ya kupinga chanjo ya Corona, ni kauli tuu, isiwatatize, Baba Askofu, atafuta kauli na atachanjwa Corona.

Kwa wale wageni na mabandiko ya Trends zangu, mnaweza kusisoma baadhi ya trends na zilikuja kutokea hivyo hivyo...

Trends na Visions, Zina Uzuri na Ubaya, Uzuri wa Trends ni zinapotokea kweli kama ulivyosema, ubaya wa trends, ni zisipotokea, utaonekana muongo, hivyo hata mimi, sio trends zangu zote hutokea, kuna nyingine hazitokei, hivyo kuonekana muongo,
Hizi ni baadhi ya trends ambazo hazikutokea,

Paskali

Unafikiri tu Paschal Mayalla lakini huna uhakika...

Kwa sababu;

1. KUHUSU MAHAKAMA YA KADHI NA MWADHAMA POLYCAP PENGO;

- Ume - attach video ya nyundo kwa Askofu Polycap Pengo na mahakama ya kadhi tu, lakini huoneshi video ya kugeuka na kuomba msamaha...!!

- Kumbukumbu za hili zinaonesha kuwa, Bishop Rev. Josephat Gwajima alisimama imara na kuongoza harakati za kuipinga na kuikataa mahakama ya Kadhi na IKAWA VILE...

- Kumbukumbu pia zinaonesha kuwa, Bishop Rev. Josepahat Gwajima alimtangazia hukumu ya kumfuta Askofu Pengo na IKAWA VILE maana 2019 Pengo alifariki...

Je, kifo chake ni matokeo ya hukumu hiyo au just a natural death? Hilo unaweza kujibu mwenyewe tu...

2. KUHUSU PAUL MAKONDA

- Ume attach video ambayo Rev. Gwajima akimtangazia hukumu Makonda ya kumfuta ktk siasa za Tanzania (na imekuwa hivyo tayari) lakini hakuna inayoonesha Gwajima akigeuka na kumwomba masamaha Makonda...!!

HATA HIVYO;

Nakuhakikishia jambo moja kuwa, hizo ulizoweka hapa ni "hisia mbahatisho" za mtu asiye na maarifa ya kiroho lakini akijadili mambo ya kiroho...

Andiko lako lote ni assumptions tupu bila "proof" kwa kutumia matukio hayo ya nyuma uliyoaanbatanisha hapa kwa njia ya video huku ukweli ukiwa kinyume chako...

KWA UFUPI NI KUWA;

Mnasafiri ktk masafa ya kiroho (spiritual frequency) tofauti sana na Rev. Gwajima...

Wewe Paschal Mayalla ninayekufahamu kamwe huwezi kuwa hakimu wa Bishop Rev. Josephat Gwajima ktk elimu ya kiroho. Jadili mengine, hilo achana nalo, huliwezi...

Bishop Rev. Josephat Gwajima hawezi kusujudu na kuabudu mashetani kamwe. Huyu mtu ni "JITU LA MBINGUNI" na ni sauti ya mtu aliaye nyikani kusema itengenezeni njia ya Bwana maana ufalme wa Mungu Yehova upo tayari...!!

Sijui kama umenielewa
 
Uthibitisho wa Bi Mkubwa kwamba chanjo ni salama, na haina madhara:

1. Mimi ni Mama
2. Mimi ni Mke
3. Nina Watoto
4. Nina Wajukuu
5. Mimi ni Rais
6. Mimi ni Mkuu wa Nchi & Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi Yote
7. Nishawahi kupewa chanjo ya magonjwa mengine zamani
8. Kama ugonjwa wa korona umemkumba ndugu au jamaa yako wa karibu, lazima utakuwa na mtazamo tofauti kuhusu chanjo
9. Niko tayari kuchanjwa
10. Siwadanganyi Watanzania

^Brigedia, hapa tumepigwa!!!^ ~ JPM 🙂
11. Tupate chanjo tufungue uchumi
 
Mkuu nakubaliana na wewe.
lakini napata shaka kidogo kwa sababu hii ishu watu wengi wanaihusisha na mambo ya imani ambayo huwa ni ngumu kubadirika.
Naamini baba askofu anamsukumo wa kiimani tofauti na matukio mengine ya nyuma ambayo mengi yalikuwa na msukumo wa kisiasa.

Amekosea huyu na kukubaliana naye ktk mawazo hayo ni kukubaliana na mawazo ya kishirikina...

Paschal Mayalla anamjadili Bishop Rev. Josephat Gwajima huku akiwa hamfahamu vizuri...

Huyu Mchungaji akisimamia kitu anachokiamini, kamwe hawezi ku - back down na kamwe hawezi kurudi nyuma wala kusujudu mashetani na mipango yao...!
 
Unafikiri tu Paschal Mayalla lakini huna uhakika...

Kwa sababu;

1. KUHUSU MAHAKAMA YA KADHI NA MWADHAMA POLYCAP PENGO;

- Ume - attach video ya nyundo kwa Askofu Polycap Pengo na mahakama ya kadhi tu, lakini huoneshi video ya kugeuka na kuomba msamaha...!!

- Kumbukumbu za hili zinaonesha kuwa, Bishop Rev. Josephat Gwajima alisimama imara na kuongoza harakati za kuipinga na kuikataa mahakama ya Kadhi na IKAWA VILE...

- Kumbukumbu pia zinaonesha kuwa, Bishop Rev. Josepahat Gwajima alimtangazia hukumu ya kumfuta Askofu Pengo na IKAWA VILE maana 2019 Pengo alifariki...

Je, kifo chake ni matokeo ya hukumu hiyo au just a natural death? Hilo unaweza kujibu mwenyewe tu...

2. KUHUSU PAUL MAKONDA

- Ume attach video ambayo Rev. Gwajima akimtangazia hukumu Makonda ya kumfuta ktk siasa za Tanzania (na imekuwa hivyo tayari) lakini hakuna inayoonesha Gwajima akigeuka na kumwomba masamaha Makonda...!!

HATA HIVYO;

Nakuhakikishia jambo moja kuwa, hizo ulizoweka hapa ni "hisia mbahatisho" za mtu asiye na maarifa ya kiroho lakini akijadili mambo ya kiroho...

Andiko lako lote ni assumptions tupu bila "proof" kwa kutumia matukio hayo ya nyuma uliyoaanbatanisha hapa kwa njia ya video huku ukweli ukiwa kinyume chako...

KWA UFUPI NI KUWA;

Mnasafiri ktk masafa ya kiroho (spiritual frequency) tofauti sana na Rev. Gwajima...

Wewe Paschal Mayalla ninayekufahamu kamwe huwezi kuwa hakimu wa Bishop Rev. Josephat Gwajima ktk elimu ya kiroho. Jadili mengine, hilo achana nalo, huliwezi...

Bishop Rev. Josephat Gwajima hawezi kusujudu na kuabudu mashetani kamwe. Huyu mtu ni "JITU LA MBINGUNI" na ni sauti ya mtu aliaye nyikani kusema itengenezeni njia ya Bwana maana ufalme wa Mungu Yehova upo tayari...!!

Sijui kama umenielewa
Mkuu pengo amefariki lini ?
 
Ni suala la muda tu. Waumini wake wa huko Japan, and Korea na USA wanahitaji huduma yake sana tu ya kiroho. Na ili awafikie atapata chanjo.

Chanjo ya mwilini tu, ila kiroho haitaki chanjo na anakataa chanjo.
 
Hivi mbona Gwajima hoja zake ziko wazi kwann mnajitoa ufahamu?
Msikilizeni mjibuni kwa hoja tuache masihara,tumieni akili kufikiri!
 
Unafikiri tu Paschal Mayalla lakini huna uhakika...

Kwa sababu;

1. KUHUSU MAHAKAMA YA KADHI NA MWADHAMA POLYCAP PENGO;

- Ume - attach video ya nyundo kwa Askofu Polycap Pengo na mahakama ya kadhi tu, lakini huoneshi video ya kugeuka na kuomba msamaha...!!

- Kumbukumbu za hili zinaonesha kuwa, Bishop Rev. Josephat Gwajima alisimama imara na kuongoza harakati za kuipinga na kuikataa mahakama ya Kadhi na IKAWA VILE...

- Kumbukumbu pia zinaonesha kuwa, Bishop Rev. Josepahat Gwajima alimtangazia hukumu ya kumfuta Askofu Pengo na IKAWA VILE maana 2019 Pengo alifariki...

Je, kifo chake ni matokeo ya hukumu hiyo au just a natural death? Hilo unaweza kujibu mwenyewe tu...

2. KUHUSU PAUL MAKONDA

- Ume attach video ambayo Rev. Gwajima akimtangazia hukumu Makonda ya kumfuta ktk siasa za Tanzania (na imekuwa hivyo tayari) lakini hakuna inayoonesha Gwajima akigeuka na kumwomba masamaha Makonda...!!

HATA HIVYO;

Nakuhakikishia jambo moja kuwa, hizo ulizoweka hapa ni "hisia mbahatisho" za mtu asiye na maarifa ya kiroho lakini akijadili mambo ya kiroho...

Andiko lako lote ni assumptions tupu bila "proof" kwa kutumia matukio hayo ya nyuma uliyoaanbatanisha hapa kwa njia ya video huku ukweli ukiwa kinyume chako...

KWA UFUPI NI KUWA;

Mnasafiri ktk masafa ya kiroho (spiritual frequency) tofauti sana na Rev. Gwajima...

Wewe Paschal Mayalla ninayekufahamu kamwe huwezi kuwa hakimu wa Bishop Rev. Josephat Gwajima ktk elimu ya kiroho. Jadili mengine, hilo achana nalo, huliwezi...

Bishop Rev. Josephat Gwajima hawezi kusujudu na kuabudu mashetani kamwe. Huyu mtu ni "JITU LA MBINGUNI" na ni sauti ya mtu aliaye nyikani kusema itengenezeni njia ya Bwana maana ufalme wa Mungu Yehova upo tayari...!!

Sijui kama umenielewa
Mkuu shukrani,nilikuwa nawaza kuandika!
Ila naamini uliyemjibu hajakuelewa na hawezi kukuelewa,sababu mambo ya kiroho ameyatafsiri kisiasa!.

Watakaokuelewa hapa wachche sana.
 
Wewe kama haujui jielimishe, kama unaamini wazungu nenda kachanje, haujakatazwa...wahi kabla hazijaisha.
Mnaweza kupinga chanjo lakini msiongee uongo.... Hivi unaijua Grapehene oxide wewe?? Ni sawa na wanaodai eti chanjo ina chip sijui unakua tracked!! Mnapotosha kwa faida ya nani??

Kama umesomea engineering au accounting baki kwenye profession yako waachine Virologists ama Epidemiologist!! Tupunguze ujuaji.
 
Kumbukumbu pia zinaonesha kuwa, Bishop Rev. Josepahat Gwajima alimtangazia hukumu ya kumfuta Askofu Pengo na IKAWA VILE maana 2019 Pengo alifariki...
Pengo alifariki au alistaafu?? kwahiyo kustaafu naturally ni sababu ya vita na Gwajima??

Mfano Gwajima alisema Lowassa lazima awe Rais na CCM ila baada ya uchaguzi akamkana??

Alisema hana imani na CCM kabisa kipindi JPM amekua Rais. Akasema hana shida na JPM ila ana shida na CCM tena akliita "Hili lidude". But akagombea ubunge kupitia CCM huo msimamo wake ni upi??

Alisema katiba mpya ni muhimu enzi hizo 2014 lakini toka ameingia CCM ameufyata huo ndio msimamo???

Alisema yye ni mkubwa kuliko Rais au mbunge so hawezi gombea but amekua mbunge. Je huo ndio msimamo??

Gwajima ni tapeli kupitia mgongo wa dini, iko siku ataumbuka tu maana huwezi kumfool Mungu miaka yote tu. His time is coming!!
 
Yaezekana maan nyie hamtabiriki, mnaangalia upepo utakavyo vuma tu 🤣🤣🤣
Wanabodi

Hili ni bandiko la Visions na Trends Readings, Visions za Trends Reading sio utabiri, ni maono ya mielekeo. Ni tofauti na maono ya utabiri.

Kwenye visions za trends readings zangu, zinanionyesha "Mbunge Wangu wa Kawe, Baba Askofu, Mheshimiwa sana, Dr. Josephat Gwajima" akichanjwa chanjo ya Corona!.

Baba Askofu Gwajima, licha ya kupinga chanjo ya Corona kwa mahubiri ya zaidi saa nzima., Trends Readings zangu, zinanionyesha, Baba Askofu Dr. Josephat Gwajima akichanjwa chanjo ya Corona!, na siku hiyo, atakapo chanjwa, atazungumza na ukimsikiliza atakakacho sema, unaweza usiamini kama mtu huyo anayezungumza siku hiyo, na aliyechanjwa, ndio, mtu yule yule aliyeongea maneno haya mimbarini kwake siku za nyuma!.

Trends na Visions ni Nini?
Hili ni bandiko la kitu kinachoitwa trends na visions. Trends ni kusoma mielekeo, na visions ni kuona mambo yajayo ya mbali, yatakayo tokeo kutokana na trends unanaziona sasa. Hivyo trends za Baba Akofu Gwajima anazokwenda nazo sasa za kupinga chanjo ya Corona, sii lolote, sii chochote, kwa sisi waona mbali, tuliojaaliwa kupata visions za yajayo, tunaona kabisa mambo mazuri huko tuendako, ikiwemo, licha ya Baba Askofu kupinga sana chanjo, trends na visions zinanionyesha Baba Askofu akipokea Chanjo ya Corona kwa kuchanjwa!.

Kutafsiri Trends & Visions, ni Psychoanalysis. Jee Hii Psychoanalysis ni Nini, na ya Kazi Gani?
Kuna msemo usemao, information is power, yaani ukiwa na taarifa sahihi, unakuwa na nguvu, hivyo hii psychoanalysis ni somo la kujifunza kwa nini watu wana behave kwa namna fulani kwenye situations fulani. Hivyo ukijua tabia za watu, kwa nini they behave the way they behave, wewe unakuwa na power ya kuwafahamu na sometimes bila wenyewe kujifahamu, hivyo kwa kuandika humu kuhusu their human behaviors, hii inaweza kuwasaidia watu hawa kujielewa na kubadilika, and changing for the better kwa kupunguza maneno na kuongeza vitendo. Waalimu wakuu wa hili somo la psychoanalysis, ni wawili, Carl Jung na Sigmund Freud.
Nimeifundisha sana Psychoanalysis, humu
Pascal Mayalla said:

Hivyo ili kuwathibitishia Baba Askofu atapokea Chanjo ya Corona, Tembelea uzi huu, umsikilize kwa makini Baba Askofu, alisema nini hapa,
Baadaye aligeuka.

Hata siku alipozungumza haya kumhusu Muadhama Polycarp, Carninali Pengo, , baadaye alifuta kauli na alimtembelea na kuomba msamaha.

Alipomzungumzia Bashite, , pia baadaye alifuta kauli na wakapatana.

Hivyo hata kauli yake hii ya sasa ya kupinga chanjo ya Corona, ni kauli tuu, isiwatatize, Baba Askofu, atafuta kauli na atachanjwa Corona.

Kwa wale wageni na mabandiko ya Trends zangu, mnaweza kusisoma baadhi ya trends na zilikuja kutokea hivyo hivyo...

Trends na Visions, Zina Uzuri na Ubaya, Uzuri wa Trends ni zinapotokea kweli kama ulivyosema, ubaya wa trends, ni zisipotokea, utaonekana muongo, hivyo hata mimi, sio trends zangu zote hutokea, kuna nyingine hazitokei, hivyo kuonekana muongo,
Hizi ni baadhi ya trends ambazo hazikutokea,

Paskali
 
Kule FB, Twitani, Insta na Youtube watu wanasema wameamini kweli JPM hajafa! Na kwamba ile kauli yake ya ^Nileteeni Gwajima! Nileteeeni Gwajima!! Nileteeni Gwajimaaaaaa!!!^ ilikuwa so prophetic & timely. Huyu Askofu Mbunge amemhisibu JPM & legacy yake hadi raha sana!!! 🙂 🙂 🙂
...🙄🙄🙄...?
 
Back
Top Bottom