Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,242
Imani yako imekuzidi kimo. Akili yako inataka kufika kikomo cha kujiaminisha Gwajiuno ni mungu' wako hapa duniani.Amekosea huyu na kukubaliana naye ktk mawazo hayo ni kukubaliana na mawazo ya kishirikina...
Paschal Mayalla anamjadili Bishop Rev. Josephat Gwajima huku akiwa hamfahamu vizuri...
Huyu Mchungaji akisimamia kitu anachokiamini, kamwe hawezi ku - back down na kamwe hawezi kurudi nyuma wala kusujudu mashetani na mipango yao...!
1. Kila jambo halitokei unless some conditions are fulfilled...Pengo alifariki au alistaafu?? kwahiyo kustaafu naturally ni sababu ya vita na Gwajima??
Mfano Gwajima alisema Lowassa lazima awe Rais na CCM ila baada ya uchaguzi akamkana??
Alisema hana imani na CCM kabisa kipindi JPM amekua Rais. Akasema hana shida na JPM ila ana shida na CCM tena akliita "Hili lidude". But akagombea ubunge kupitia CCM huo msimamo wake ni upi??
Alisema katiba mpya ni muhimu enzi hizo 2014 lakini toka ameingia CCM ameufyata huo ndio msimamo???
Alisema yye ni mkubwa kuliko Rais au mbunge so hawezi gombea but amekua mbunge. Je huo ndio msimamo??
Gwajima ni tapeli kupitia mgongo wa dini, iko siku ataumbuka tu maana huwezi kumfool Mungu miaka yote tu. His time is coming!!
yan na mimi nmeshangaa ndo uthibitisho eti daah.Mungu tunusuruUthibitisho wa Bi Mkubwa kwamba chanjo ni salama, na haina madhara:
1. Mimi ni Mama
2. Mimi ni Mke
3. Nina Watoto
4. Nina Wajukuu
5. Mimi ni Rais
6. Mimi ni Mkuu wa Nchi & Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi Yote
7. Nishawahi kupewa chanjo ya magonjwa mengine zamani
8. Kama ugonjwa wa korona umemkumba ndugu au jamaa yako wa karibu, lazima utakuwa na mtazamo tofauti kuhusu chanjo
9. Niko tayari kuchanjwa
10. Siwadanganyi Watanzania
^Brigedia, hapa tumepigwa!!!^ ~ JPM
Kama daktari mtalaamu wa masuala ya chanjo za binadamuNi wapi ambapo Askofu Gwajima amekataa chanjo!??? Yeye anataka chanjo yenye mashiko, siyo bora chanjo, sawa!???
Mimi nimechanja ile ile Day 1.Hivi tayari amesha chanjwa au bado?
Nimechanja ile ile day 1.Paskali, umechanjwa mzee. Maana upo katika kundi hatarishi bro.
Watu wakachanjeNimechanja ile ile day 1.
P
Kumwamini Gwajiboy lazima uwe na akili ma mwanakondoo wake,Ni wapi ambapo Askofu Gwajima amekataa chanjo!??? Yeye anataka chanjo yenye mashiko, siyo bora chanjo, sawa!???
Akiona sababu ya kuchanjwa na kuamua kuchanjwa si shida ila itakuwa ajabu mtu ambaye hadi sasa hajaona umuhimu wa kujikinga na corona hata kwa kuvaa barakoa tu aibuke kwenda kuchanja bila sababu.Gwajima hana msimamo na anatafta kiki kwa hii ya chanjo kuipima serikali hata mimi naamini atachoma chanjo, ka alisema kuwa ubunge si hadhi yake na sasa ni mbunge wa ccm, ka alikataa clip ya yule mrembo na kusema ni mkono wa baunsa, na Jana kakubali kuwa mrembo hakuwa na shida, I do believe chanjo atachoma tu huyu, na atatunga uongo mwingine wa kuhadaa wale nyumbu wake
Wanabodi
Kwenye visions za trends readings zangu, zinanionyesha "Mbunge Wangu wa Kawe, Baba Askofu, Mheshimiwa sana, Dr. Josephat Gwajima" akichanjwa chanjo ya Corona!.
Paskali
Naunga mkono hojaMy take: kuna mtu atachanja hivi karibunii.