Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
Nadhani Kenya!Ila Kilimanjaro iko wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani Kenya!Ila Kilimanjaro iko wapi?
Hizi taaluma za watu ndugu, wewe umeongea kijiografia, wenzio wanaongea kibiashara zaidi (tourism marketing). Wako sahihiHapa nzuri ingekuwa visit Tanzania maana Kilimanjaro na Zanzibar vipo ndani Tanzania, ukisema visit Tanzania ina maana umemaliza kila kitu. Ndani ya Tanzania kuna Kilimanjaro, Zanzibar, Mikumi, Selous, Ngorongoro, Serengeti n.k
Halafu Tangazo kwa mechi moja tu ya kimataifa haina mantiki kabisa wangeweka nguvu uwanjani.
Sijui baada ya Jumapili itavaliwa wapi.View attachment 1942205
Siyo kila mara kutaja nchi huko ni kukosa ubunifu, kisa Rwanda wametoa ya visit Rwanda na yanga waige, muda mwingine creativity inahitajikaHapa nzuri ingekuwa visit Tanzania maana Kilimanjaro na Zanzibar vipo ndani Tanzania, ukisema visit Tanzania ina maana umemaliza kila kitu. Ndani ya Tanzania kuna Kilimanjaro, Zanzibar, Mikumi, Selous, Ngorongoro, Serengeti n.k
Halafu Tangazo kwa mechi moja tu ya kimataifa haina mantiki kabisa wangeweka nguvu uwanjani.
Sijui baada ya Jumapili itavaliwa wapi.View attachment 1942205
Bado sio hoja ya msingiiIla Kilimanjaro iko wapi?